Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Sawa mie nabwatuka tu kafanye mkuu ndio utaelewa kuwa nipo hapa nabwatuka au naelewaUnaambiwa uweke hiyo Sheria unabaki kubwatuka uharo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mie nabwatuka tu kafanye mkuu ndio utaelewa kuwa nipo hapa nabwatuka au naelewaUnaambiwa uweke hiyo Sheria unabaki kubwatuka uharo
Hapo inatakiwa usajiri kwanza Kampuni ya Mambo hayo, vinginevyo utaingia kwenye matatizoWakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…
Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…
Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 ni ndogo sana Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…
Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER,REPETER, TP LINK kanitajia majina mengi ili iweze kupush umbali walau wa mita 100 au 200 sasa Mimi mgeni wa ivi vitu…
Kama kuna mtu anajua izi mambo anielekeze au anauza ivo vifaa Anipigie 0676444333 Ikiwa ni fundi itapendeza zaidi….
MAOKOTO YAPO…
Nawakilisha….