haba na haba
Member
- Oct 30, 2012
- 17
- 6
Mbona kachelewa sana?asubiri mwakani
Jibu unalo kuwa anakipenda sana. Kwa vile yeye ndiye mwenye kwenda kusoma sisi tunakujaje kumsaidia kufikiri ili yeye atafune? Kama ana uwezo na yuko tayari hana haja ya kuchelewa aende mara moja. Nadhani umepata msaada hapa.
Nashukuru kwa ushauri wako na wengine hapo juu ingawa siko Bongo ila na ww Jioni njemaKama una wasi wasi kuwa mdogo wako hajui anachotaka wala anachopaswa kufanya huna haja ya kupoteza fedha na muda. Nadhani kwa umri na hali ya kufikia kutaka kujiunga chuoni atakuwa anajua anachofanya. Kama hajui basi ni balaa na hasara. Nadhani ushauri huu
utakufaa. Nakutakia mchana mwema maana si wote tuko Bongo.