masaada plz jamani

masaada plz jamani

haba na haba

Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
17
Reaction score
6
Habari za usiku jamani natumain muwazima wa afya nimuone Niweke Hii topic hapa jamvini
In short Nina mdogo wangu anataka Kuomba Chou cha kampala unversit kweli amekupenda sana sasa munanishauri vipi . Na muda umeshasogea jamani
Ukizingatia kamaliza diploma huko zanzibar
Thanks in adv
 
Aende tu akapeleke aplication yake si unajua tena vyuo vyetu nowadays vimekaa kibiashara kama Mzumbe
 
Mbona kachelewa sana?asubiri mwakani
 
Mbona kachelewa sana?asubiri mwakani

Ameenda Leo Ndio kanipigia simu muda sio mrefu anasema kaambiwa aende na application ila nataka kusoma accountancy sasa Naogopa exemption kwenye Cpa na uwezo wa kumjenga mwanafunzi kujitetea
 
Jibu unalo kuwa anakipenda sana. Kwa vile yeye ndiye mwenye kwenda kusoma sisi tunakujaje kumsaidia kufikiri ili yeye atafune? Kama ana uwezo na yuko tayari hana haja ya kuchelewa aende mara moja. Nadhani umepata msaada hapa.
 
Jibu unalo kuwa anakipenda sana. Kwa vile yeye ndiye mwenye kwenda kusoma sisi tunakujaje kumsaidia kufikiri ili yeye atafune? Kama ana uwezo na yuko tayari hana haja ya kuchelewa aende mara moja. Nadhani umepata msaada hapa.

Nikweli unajua kunakusoma n kukuchukua degree Naogopa isije ikawa ni kukuchukua sio Kusoma
 
Kama una wasi wasi kuwa mdogo wako hajui anachotaka wala anachopaswa kufanya huna haja ya kupoteza fedha na muda. Nadhani kwa umri na hali ya kufikia kutaka kujiunga chuoni atakuwa anajua anachofanya. Kama hajui basi ni balaa na hasara. Nadhani ushauri huu utakufaa. Nakutakia mchana mwema maana si wote tuko Bongo.
 
Kama una wasi wasi kuwa mdogo wako hajui anachotaka wala anachopaswa kufanya huna haja ya kupoteza fedha na muda. Nadhani kwa umri na hali ya kufikia kutaka kujiunga chuoni atakuwa anajua anachofanya. Kama hajui basi ni balaa na hasara. Nadhani ushauri huu
utakufaa. Nakutakia mchana mwema maana si wote tuko Bongo.
Nashukuru kwa ushauri wako na wengine hapo juu ingawa siko Bongo ila na ww Jioni njema
 
Back
Top Bottom