masaburi ni makalio ndugu yangu,,, msamiati huu mupya umekuja baada ya mwanasiasa mmoja kama sikosei ni meya wa kinondoni or something, sina uhakika sana, alikua anawaambia wenzake acheni kufikiria kwa kutumia makalio,,, sasa wabongo si unajua hatuchelewi,, fasta tu, makalio yakabandikwa jina masaburi