Masaburi ni kitu gani?

Masaburi ni kitu gani?

Moseley

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
187
Reaction score
98
Hiki kiswahili kimenishinda.. Kuna mahali naona watu wana comment, "kufikiri kwa kutumia masaburi".. Masaburi ni nini hasa??..

Shukrani
 
masaburi ni makalio ndugu yangu,,, msamiati huu mupya umekuja baada ya mwanasiasa mmoja kama sikosei ni meya wa kinondoni or something, sina uhakika sana, alikua anawaambia wenzake acheni kufikiria kwa kutumia makalio,,, sasa wabongo si unajua hatuchelewi,, fasta tu, makalio yakabandikwa jina masaburi
 
Back
Top Bottom