Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Wakuu Kwema?

Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death".

Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena.

Kuna mwenye kujua hii kitu ni nini, inatokea kwa sababu gani na kama kuna easy way ya kuondoa au kufanya isitokee? Manake last time nilijua nikitoa 50k ni permanent solution, kumbe sivyo.
 
Hii imeshindikana wakuu?
 
Back
Top Bottom