FurtherOfTheSun
Member
- Aug 31, 2023
- 28
- 72
Mpwa wangu amefaulia Arusha sekondari Nina shida na soft copy ya joining instruction form kwa ajili ya maandalizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye webiste kwenye selection pale jina lako lilipo mbele kuna shule uliyochaliwa, uki click kweny shule unakuwa umeidownload automatic hiyo joining instructionMpwa wangu amefaulia Arusha sekondari Nina shida na soft copy ya joining instruction form kwa ajili ya maandalizi
Tafuta mawasiliano ya shule uwaombe wakutumie. Shule nyingine huwa wanaichukua ile iliyoko kwenye website halafu wanai-edit kuna vitu wanaongeza. Mfano mahitaji ya vitabu na majina yake kwa kila comb na vitu vidogo vidogo.Mpwa wangu amefaulia Arusha sekondari Nina shida na soft copy ya joining instruction form kwa ajili ya maandalizi