Nenda kwenye webiste kwenye selection pale jina lako lilipo mbele kuna shule uliyochaliwa, uki click kweny shule unakuwa umeidownload automatic hiyo joining instruction
Tafuta mawasiliano ya shule uwaombe wakutumie. Shule nyingine huwa wanaichukua ile iliyoko kwenye website halafu wanai-edit kuna vitu wanaongeza. Mfano mahitaji ya vitabu na majina yake kwa kila comb na vitu vidogo vidogo.