Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mimi natumia crdb, hahiitaji uwe na stemp wala akaunti benki , unachokfanya ni kutuma dola kwenye akautni ya nje lets say japan ila corressponding bank ni crdb au yoyote utayoichagua... chaji/commission ya crdb ilikuwa kati ya dola 10 nadhani saivi ni kama elf20 ivi, nenda na invoice toka kwa supplier. Kama supplier amekwambia ni CIF dola 2000 nenda na dola elfu 2000 kamili plus commssion ya benki , then utajaza fomu na hakikisha wanakukatia kipande cha TT ambacho uwa na muda , stamp ya benki pamoja na sahihi ya mpokea pesa benki, icho kipande ndo unamscania supplier kumtaarifu kuwa umelipa... after 48 hours pesa itakuwa japan, then mzigo unaletwa...mkuu kama unanunua japan be careful nunua kwa trusted supplier,mainly makampuni, siku izi watu wanalizwa balaa na wanigeria wakidhani ni wa japan, mtu anasubiri gari mpaka kesho kutwa. Kama unanunua mtandaoni then walipe watu wa mtandao na si direct kwa supplier, apo utaongeza dola kidogo kama dola 170 kwa vigari vidogo ili gari izuiwe mpaka hapo itakapopanda meli...iyo inaitwa PAYTRADE, ila ukiwa mbaili wa dola170 then unaliwa mzigo mzima. ALL THE BEST COMRADE.
Nimekupata mkuu. Nimeagiza trade car view na nimelipia pay trade. Mimi nina kampuni na ina account ya dollar na hela inalipwa na kampuni nilitaka kujua utaratibu ili niwajulishe signatories wengine.
Ambaye amemsoma huyu mzee anieleweshe
Jinsi ya kujiunga na pay trade inafanyaje
Jinsi ya kujiunga na pay trade inafanyaje
Makampuni yapi ambayo yanaaminika huko japan unaweza lipa bila kutumia pay trade