OK. Lakini pia karuhusu mengi hapo kanuni inasemaje?Inategemeana na muongozo wa kanuni zenu.
Kwa mantiki hii ni kuwa kila timu ina goal difference ya zero.
Anayepita ni huyo mwenye magoli mengi ya kufunga. Yaani huyo aliyegunga magoli manne.
Kama endapo wangelingana pia magoli ya kufunga basi wanaangalia head to head.
Cha kwanza wanaangalia points.OK. Lakini pia karuhusu mengi hapo kanuni inasemaje?
Cha kwanza wanaangalia points.
Pili, utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa.
Tatu, magoli ya kufunga kwa timu hizo. Ipi yenye magoli mengi yakufunga? Hapa haihusu magoli ya kufungwa.
Nne, head to head na kadi za njana zitafuatia.
Kwa hiyo wanateremeka kwa vipengele..