Wasalam wadau.
kuna Ligi inaendelea mahala, imetokea timu zimekuwa na pointi sawa na magori ya kufunga na kufungwa ni sawa. kwamaana ya timu "A" ina pointi 4,imefunga gori 4 na imefungwa gori 4, wakati timu "B" ina point 4, imefunga gori 2 na imefungwa gori 2!!!.
swali, je ni timu ipi inapsawa kufuzu/kuendelea??? Na kwa kanuni zipi zitumike ktk holiday???