Masahabiki wenzangu wa Manchester United Tusajili Halafu Glazers wabaki au Team iuzwe Ndio tusajili?

Masahabiki wenzangu wa Manchester United Tusajili Halafu Glazers wabaki au Team iuzwe Ndio tusajili?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari za Ijumaa ndugu zangu!
Mashabiki wenzangu wa Man United?
Polen sana kwa kuendelea kua Interestered na Kila Player na Kuishia kuwaweka kwenye list wakati Team zingine zikisajili.
Leo naomba niwaulize swali maana watu wengi wamekua na Mihemuko sana Dirisha hili la usajili kwan Red Devils hatujasajili na Arsenal wanafanya yao Chelsea the same, hata majirani Zetu Man City,
Niulize kipi Mngependa zaidi
TEAM ISAJILI SAIV NA GLAZERS WAENDELEE KUBAKI?, ILA TU TUFURAHIE USAJILI?
AU
TEAM ICHUKUE MDA KUUZWA TUCHELEWE KUSAJILI PLAYERS AMBAO KOCHA ANAWAHITAJI ILA AT THE END TUWE CHINI YQ QATAR?

#MAONI YENU RED DEVILS!!
 
Back
Top Bottom