Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yeah na mimi nimeonaJamaa kaedit kumbe tayari mwanzo ilikuwa imeandikwa 350,000/-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah na mimi nimeonaJamaa kaedit kumbe tayari mwanzo ilikuwa imeandikwa 350,000/-
Kuweni makini
Masai mmoja mwenyeji Wa karatu, kapandishwa mwendokasi akiwa na lengo la kufika Arusha, masai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la kimara baada ya kuambiwa watu wote kuwa basi letu limefika mwisho, hapo ndo akaanza kuhoji eti rafiki kwani hii Arusha imefika, baada ya kujibiwa hii haiendi Arusha; ndo akaanza kuwaka kwa kudai ile kijana ubungo nimeilipa 35000/= na kunileta Kwa hii basi yao Mpya! Sasa hii inatangaza imefika mwisho ...kwani hii Arusha?
Typing error! Ni 35000/= tuYeah na mimi nimeona
Noted...!Typing error! Ni 35000/= tu