Masai hawana ardhi, Rais Samia anawapenda

Lucas Mwashambwa njoo kuna mtu anataka kukuzidi point huku
 
Walikuambia hapawatoshi?
Mbona kuna maeneo mengi yenye shida hajaenda kutatua anakimbilia umasaini
 
Huoni aibu kwa uliyoyaandika?
 
Ishu sio kuwahamisha wamasai, unawahamisha kwa sababu zipi? Ecology right? Kama ishu ni ku preserve ecology unamkaribisha mwarabu wa kazi gani! Uharibifu wa mbuga nani anaufanya in large scale?
 
Maasai were there since and before independence! Samia become president 2021 accidentally
 
Chawa at his best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…