kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Haaaaaaaa eti wanajamba full time walikunywa supu ya maharage hao lazima safari uone chungu!Acha kuzaririsha watu bwana kwanini usiwaambie humo humo kwenye gari...na ungesubutu kuwaambia ungekiona cha mtema kuni
Mkuu unaweza shuka njiani aseepole mkuu, hao ni watu wa kienyeji, hayo mambo ya ustaarabu sio muhimu sana
Yani ile safari ni ndefu ni safari ya zaidi ya masaa 12Usiombe akung'ute lile shuka ukiwa karibu: viroboto mara kupe mixer ugoro kama una TB kuna mawili UFE ama UPONE KABISAA
Yani anaachia puuuuh kwa sauti yani mpaka siti ya mbele yetu wanageuka kuangaliaHaaaaaaaa eti wanajamba full time walikunywa supu ya maharage hao lazima safari uone chungu!
Hahaha pole sana mkuu si ungewarudishia nauli yao washukeYani ile safari ni ndefu ni safari ya zaidi ya masaa 12
Nlipata shida ya kupumua aiseeVipi haujapata mafua?
Iyo uwezi kiongozi,ile kufika mtera mtera mvua ikaanza inabidi na madirisha yafungwe sasa balaa linaongezeka mzeeHahaha pole sana mkuu si ungewarudishia nauli yao washuke
Mkuu ikikuta hiyo utaelewa tuSiku hizi wanaume tunalalamika vitu vya kijinga jinga.
Ningetegemea kuona hii thread imeanzishwa na mwanamke siyo mwanaume.
HahahahahaJana nlikuwa na safari ndefu kidogo kutoka Babati kupitia kondoa,Dodoma ,Iringa tobMbeya,safari iligeuka mwiba baada ya kufika Kondoa walipanda masai watano,kwenye hao watano watatu ni watu wazima akiwemo mwanamke mmoja hao wengine wawili ni watoto kama miaka 9 na 5,mimi nilikaa siti ya nyuma kabisa na wao walipoingia wakaletwa wote kule nlipo,wale jamaa hawajawahi ona maji nafikiri tangu mwaka uanze,,[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]abiria aliyekaa mbele analalamika sasa piga picha mimi niliyekaa nao du hee,wanajamba full time kwa kupokezana hivi akuna jinsi ya kuweza kuwasaidia kweli,siti ya tatu kutoka nlipo kakaa mama mjamzito ni kutaapika njia nzima (Shikamooni masai).
Mkuu ikikuta hiyo utaelewa tu