Masai jana mliniweza na shikamooni popote mlipo

Siwezi kuja kupiga makelele humu, halafu siyo kwamba hawajaoga, ni dawa fulani wanajipaka.

Mbona wazungu wananuka sana hamuwasemi humu? Ina maana hakuna anayekerwa na ile harufu ya mafuta wanayojipaka?

Acha dharau mkuu.
Akuna cha dawa wala nini mkuu,ni swalla la kutokuoga tu,watu watatu wakere watu zaidi ya arobaini kwenye bus kisa kutokuoga kama ingekuwa ugonjwa sawa
 
Ukipanda gari lixury huwezi kutana nao ubahili wako unekucost...
Wamasai ndivyo walivyo
 
Samahani kwa maneno haya lakini kiukweli ni kuwa Kabila la jamii ya wamasai wapo mbali sana na ustaarabu.....nusu wanyama nusu watu......ndio maana wazungu wanawaona kama sehemu ya wanyamapori ndio maana huwa wanavutiwa nao sana.......

Yaani hapo alipokaa ni makohozi na mate mpaka panaloa kabisa......

Hata wakiwa wanakula ni hivyo hivyo.....

Niliwahi kukaa nao huko kwao kijijini........
 
Kwa hyo wao wanauhusiano
Gan na mimba ya huyo mama
Mpaka akatapka
 
Haohao wakija kulinda mageti huko mjini kwenu mlikostarabika wanawagegeda wake zenu.
 
Cha kushangaza zaidi""hata simba huwakimbia,,sembuse binadamu ???
 
Usiombe akung'ute lile shuka ukiwa karibu: viroboto mara kupe mixer ugoro kama una TB kuna mawili UFE ama UPONE KABISAA
HII KALI ETI UFE AU UPONE HAHAHAHAHAHA IMEKAA POA. SASA UKUTANE NA MAMA WA KIMASAI AMEJIFUNGUA AMBAE HAJAMALIZA HATA SIKU KADHAA UTAFURAHI. LAKINI HII NI KWA WALE WA VIJIJINI SANA
 
HII KALI ETI UFE AU UPONE HAHAHAHAHAHA IMEKAA POA. SASA UKUTANE NA MAMA WA KIMASAI AMEJIFUNGUA AMBAE HAJAMALIZA HATA SIKU KADHAA UTAFURAHI. LAKINI HII NI KWA WALE WA VIJIJINI SANA
Oh:! That the evil thing i can imaging
 
Masai, mang'ati, barabaig, wote sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…