cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mbona hayo hata wa kabila lako wanaweza kutafanya au!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuna cha dawa wala nini mkuu,ni swalla la kutokuoga tu,watu watatu wakere watu zaidi ya arobaini kwenye bus kisa kutokuoga kama ingekuwa ugonjwa sawaSiwezi kuja kupiga makelele humu, halafu siyo kwamba hawajaoga, ni dawa fulani wanajipaka.
Mbona wazungu wananuka sana hamuwasemi humu? Ina maana hakuna anayekerwa na ile harufu ya mafuta wanayojipaka?
Acha dharau mkuu.
Sio ubahili mkuu nlikuwa ndani ya kitu cha arusha expUkipanda gari lixury huwezi kutana nao ubahili wako unekucost...
Wamasai ndivyo walivyo
Cha kushangaza zaidi""hata simba huwakimbia,,sembuse binadamu ???Samahani kwa maneno haya lakini kiukweli ni kuwa Kabila la jamii ya wamasai wapo mbali sana na ustaarabu.....nusu wanyama nusu watu......ndio maana wazungu wanawaona kama sehemu ya wanyamapori ndio maana huwa wanavutiwa nao sana.......
Yaani hapo alipokaa ni makohozi na mate mpaka panaloa kabisa......
Hata wakiwa wanakula ni hivyo hivyo.....
Niliwahi kukaa nao huko kwao kijijini........
Mimba na harufu hiyo n vtu tofautKwa hyo wao wanauhusiano
Gan na mimba ya huyo mama
Mpaka akatapka
Cha kushangaza zaidi""hata simba huwakimbia,,sembuse binadamu ???
HII KALI ETI UFE AU UPONE HAHAHAHAHAHA IMEKAA POA. SASA UKUTANE NA MAMA WA KIMASAI AMEJIFUNGUA AMBAE HAJAMALIZA HATA SIKU KADHAA UTAFURAHI. LAKINI HII NI KWA WALE WA VIJIJINI SANAUsiombe akung'ute lile shuka ukiwa karibu: viroboto mara kupe mixer ugoro kama una TB kuna mawili UFE ama UPONE KABISAA
Oh:! That the evil thing i can imagingHII KALI ETI UFE AU UPONE HAHAHAHAHAHA IMEKAA POA. SASA UKUTANE NA MAMA WA KIMASAI AMEJIFUNGUA AMBAE HAJAMALIZA HATA SIKU KADHAA UTAFURAHI. LAKINI HII NI KWA WALE WA VIJIJINI SANA
HahahahUsiombe akung'ute lile shuka ukiwa karibu: viroboto mara kupe mixer ugoro kama una TB kuna mawili UFE ama UPONE KABISAA
HahahahSiku hizi wanaume tunalalamika vitu vya kijinga jinga.
Ningetegemea kuona hii thread imeanzishwa na mwanamke siyo mwanaume.
Masai, mang'ati, barabaig, wote sawaHAO SIO MASAI TATIZO UMEKULIA MJINI.HAO NI MANG'ATI AU BARABAIG.WAO HUJIPAKA MAFUTA YA TOKANAYO NA MAZIWA KIASI KWAMBA HUFUATWA NA NYUKI MUDA WOTE.CHAKULA CHAO KIKUU MAZIWA MABICHI.MARA NYINGI MABSI YA KONDOA HUWA HAWAWAKATII SITI KWASABABU ABIRIA MWINGINE AKIONA HIVYO YUKO RADHI KUSHUKA.WAO HAWAJUI NENO SAMAHANI WANATEMA MATE MUDA WOTE BILA KUJALI
kuzaririsha>>>>>KudhalilishaAcha kuzaririsha watu bwana kwanini usiwaambie humo humo kwenye gari...na ungesubutu kuwaambia ungekiona cha mtema kuni
Asante....bado najifunza kiswahilikuzaririsha>>>>>Kudhalilisha