Masai jana mliniweza na shikamooni popote mlipo

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
2,831
Reaction score
1,304
Jana nlikuwa na safari ndefu kidogo kutoka Babati kupitia kondoa,Dodoma ,Iringa tobMbeya,safari iligeuka mwiba baada ya kufika Kondoa walipanda masai watano,kwenye hao watano watatu ni watu wazima akiwemo mwanamke mmoja hao wengine wawili ni watoto kama miaka 9 na 5,mimi nilikaa siti ya nyuma kabisa na wao walipoingia wakaletwa wote kule nlipo,wale jamaa hawajawahi ona maji nafikiri tangu mwaka uanze,,[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]abiria aliyekaa mbele analalamika sasa piga picha mimi niliyekaa nao du hee,wanajamba full time kwa kupokezana hivi akuna jinsi ya kuweza kuwasaidia kweli,siti ya tatu kutoka nlipo kakaa mama mjamzito ni kutaapika njia nzima (Shikamooni masai).
 
Acha kuzaririsha watu bwana kwanini usiwaambie humo humo kwenye gari...na ungesubutu kuwaambia ungekiona cha mtema kuni
 
Haaaaaaaa eti wanajamba full time walikunywa supu ya maharage hao lazima safari uone chungu!
 
Bado hawajaanza kutema mate dirishani, hawa watu hawanaga ustaarabu....
Wamasai, wamang'ati, yani akipanda gari hata kama hajakaa dirishani atarusha tu mate dirishani
 
Jana nlikuwa na safari ndefu kidogo kutoka Babati kupitia kondoa,Dodoma ,Iringa tobMbeya,safari iligeuka mwiba baada ya kufika Kondoa walipanda masai watano,kwenye hao watano watatu ni watu wazima akiwemo mwanamke mmoja hao wengine wawili ni watoto kama miaka 9 na 5,mimi nilikaa siti ya nyuma kabisa na wao walipoingia wakaletwa wote kule nlipo,wale jamaa hawajawahi ona maji nafikiri tangu mwaka uanze,,[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]abiria aliyekaa mbele analalamika sasa piga picha mimi niliyekaa nao du hee,wanajamba full time kwa kupokezana hivi akuna jinsi ya kuweza kuwasaidia kweli,siti ya tatu kutoka nlipo kakaa mama mjamzito ni kutaapika njia nzima (Shikamooni masai).
Hahahahaha
 
Mkuu ikikuta hiyo utaelewa tu

Siwezi kuja kupiga makelele humu, halafu siyo kwamba hawajaoga, ni dawa fulani wanajipaka.

Mbona wazungu wananuka sana hamuwasemi humu? Ina maana hakuna anayekerwa na ile harufu ya mafuta wanayojipaka?

Acha dharau mkuu.
 
Back
Top Bottom