Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?

Wamasai ni jamii ya Watanganyika waboresheni MAISHA Yao huko waweze kutulia wacheni kukwepa MAJUKIMU
 
Zanzibzr ni wabaguzi, hapo inatafutwa namna ya kuwaondoa huko, kama mtu anatembea na fimbo na hajadguru mtu , na hata akiitumia kudhuru , sheria ipo atashitakiwa, kila mwanadamu ana utamaduni wake , ni utamaduni wa wamasai kutembea na fimbo. Uhuru wa mtu uheshimiwe . Wale mashehe wanatembea nafimbo hao vipi, au ni kwa watanganyika tu?
 
Hivi tamaduni za Zanzibar zinaruhusu mwanamke kuvalia na kucheza vile kwenye maeneo ya umma?
Sio beach tu mpaka masokoni wazungu wanatembea wamevaa β€˜tank tops’ na vipensi wala wenyeji hawana shida.

Tena balozi nyingi huko wanakotoka wazungu wanaonywa wazingatie nguo zao (to cover up) nje ya mahoteli kuheshimu local dress code. Maana wanawake uko nguo zao ni za stara. Lakini wazanzibari hawana shida kuona wazungu wakitembea nusu uchi Michenzani mall.

Binafsi ningeelewa ilo katazo kama Kuna matokeo kadhaa ya masai kudhuru watu hapo kuna hoja. Ila kuchukizwa tu kisa wewe upendi ilo katazo lina kosa justification.
 
Polisi wametoa sababu gani?
Angalau wewe umeuliza wenzako wengi humu wanakurupuka tu bila hata kutaka kujua ni kwa nini wamezuiwa kutembea na hivo vitu sababu ya yote hayo ni kuwashambulia maafisa wa mji mkongwe kwa kutumia hizo rungu zao
 
Ukimvua kiremba (turban) Karasinga anabakia kuwa Mhindi tu, vivyo hivyo ukimnyang'anya fimbo Mmasai anabakia Mgogo au Msukuma.

Wamasai waendelee kutembea na fimbo na visu vyao. Mbona hapa Dar es Salaam Masai hawajawahi kupiga mtu bila sababu.
 
Polisi walianza wao kuwavuta vuta kama mzigo morani hasira zikawapnda wakaanza kutoka kichapo cha paka alienyea unga wa ugali
Hii clip ya zamani. Police washaitolea uafafanuzi
 

Attachments

  • VID-20240201-WA0037.mp4
    9.8 MB
.
 

Attachments

  • VID-20240127-WA0048.mp4
    6.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…