Masaji ni starehe ambayo watu wanaichukulia poa sana

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Kushikwa shikwa mgongoni, hata kama bila mafuta, yani mikono mikavu tu, kuna relaxation unaipata.

Yani kama ni usingizi unakuja bila ya wewe kujua, kwa maoni yangu hii ndio starehe kubwa, na pia inafaida nyingi sana kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…