Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

 
Hapa busara na hekima ilitakiwa itumike
 

Video clip inatoa mwanga zaidi kuhusu hilo tukio.
 
Weww
Wewe unatetea usilo lijua,polisi walikuwa wanataka wapishwe wakipiga honi,walipoona huyu dreva hajawapisha wakaanza kumharas,ndiyo wakawa wanahojiwa wapishwe kama nani?na kama huu ni msafara kiongozi wao yuko wapi?mengine utayaona kwenye youtube.
 
Jamaa angeingia tena kwenye defender yake angechomoka na RPG au grenade launcher kabisa.
 
Hii nchi hatuko salama, who is next? (kuonyeshwa mitutu)
 
Hakuna hawa askari hua wanakurupuka sana wakishakua tu na hivo vibunduki wanajua watu watawaogopa.
ulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"
Tanzania viongozi wanajiweka matiti mbele na usiye kiongozi unanyanyaswa.
Wote tuwe watii wa sheria......tusiwaangalie polisi kwa makengeza kwakuwa kila mara wako wrong
 
Gari lilikuwa parked sehemu isiyostahili na mutoto wa bosi amebaki untouchable ndio kuja polisi nao wanadharauliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…