Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Mwane Kighoma MalimaKighoma Malima kwani yuko hai?
Yaani Adam Malima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwane Kighoma MalimaKighoma Malima kwani yuko hai?
Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....[/QUOTE]
enye red, sidhani there was such a provocation. Police wamefundishwa kuvumilia inapopaswa! Provocation ni pale anapotishiwa maisha na siyo kwenye maneno, hawajafundishwa kufyatua/kuua kama wakisemewa maneno mabaya!
Hapa busara na hekima ilitakiwa itumikeKama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
Samahani afandeUlitaka Polisi apigwe makofi ushangilie kwan kupiga risasi juu kumeleta madhara gani mpaka useme hana cheti!!!? SHUBAAAAMIT
Umeisha sema watu walizingara sehemu Hiyo wakifikiri kuna jambazi, ili kutuliza au kumuokoa Mtu ktk mazingira hayo polisi au Mtu yeyote mwenye kibali cha silaha ana ruhusiwa kupiga risasi hewani Kama warning kwa watu wenye nia ya kutenda uovu. Na sababu za majembe kuivamia hiyo gari huja elezea , hivyo habari inakuwa haija balance
Wewe unatetea usilo lijua,polisi walikuwa wanataka wapishwe wakipiga honi,walipoona huyu dreva hajawapisha wakaanza kumharas,ndiyo wakawa wanahojiwa wapishwe kama nani?na kama huu ni msafara kiongozi wao yuko wapi?mengine utayaona kwenye youtube.Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
ulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"Hakuna hawa askari hua wanakurupuka sana wakishakua tu na hivo vibunduki wanajua watu watawaogopa.
Gari lilikuwa parked sehemu isiyostahili na mutoto wa bosi amebaki untouchable ndio kuja polisi nao wanadharauliwaWeww
Wewe unatetea usilo lijua,polisi walikuwa wanataka wapishwe wakipiga honi,walipoona huyu dreva hajawapisha wakaanza kumharas,ndiyo wakawa wanahojiwa wapishwe kama nani?na kama huu ni msafara kiongozi wao yuko wapi?mengine utayaona kwenye youtube.