Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Huenda akamrithi Sirro.ni mwendo wa kutafuta kiki tu
 
Huyu askari ametumia busara sana kupiga risasi juu kuwatawanya hao watu na hana kosa kupiga risasi juu angekuwa amemrenga au amemnyoshea mtu hapo ingekuwa makosa lakini inaonyesha nia yake ni kuwatawanya ndio maana ameonyesha bunduki juu hakuwa na nia ya kudhuru mtu acheni siasa!!
 
Unaelewa Principles Na Maadili Ya Matumizi Ya Silaha? Hata Kama Malima Alidharau, Yule Polisi Kakosea, Hakukuwa Na Ulazima Wa Kufyatua Risasi, Vp Madhara Kwa Wananchi?
Hata mimi ningekosea zaidi... ningepeleka kwa huyo jamaa.. naenda jela.. somo litaeleweka kesho
ningetoa mfano live...
 
....Kama lile sinema la nape vile.., Ila kuna mtu alishasema kuwa hawa jamaa wanatakiwa kutafutiwa vita ya kirafiki kwani inaelekea wamechoka kubeba bunduki bila kufyatua so wanatafuta kwa nguvu sababu ya kuzitumia...
 
sasa km hakutii sheria achekewe? hata makamanda hupigwa mabomu kwenye maandamano wacha na yeye aisome namba!
 
Tanzinia askari kutoa bunduki mble ya raia hawajambo ila ngoja majambazi yatokee hapo hao polisi watachapwa risasi za kufa mtu
 

Hivi kuheshimu Serikali au kuigopa Serikali?? Kwanini mwenzake alimwambia aache?Alijua wanamakosa.Ifike mahali pande zote mbili ziheshiamiane.Polisi lazima waheshimu RAIA na RAIA waheshimu polisi bila polisi kuheshimu RAIA hakuna kujeshimiana.Angeua RAIA wange sema polisi kaua Jambazi Sugu.

Mbona enzi za JKN huu upumbavu ilikuwa hakuna.Ushenzi huu upo awamu hii tu kisa polisi aogopewe.
 
Kwa Matumizi Haya Ya Hovyo Hovyo Ya Silaha
Ni Hatari Sana Kwa Askari Lakini Pia Wananchi Tujitahidi Kujua Nguvu Ya Umma Ni Kubwa Kuliko Silaha.
Utemi Haufai Popote Pale!!!!
Unamanisha nini unaposema utemi???
 
polisi wa kuchukua mitaani,ndio matatizo saiv.watolewe wote
 
Hao Majembe, Yono and the like ni wasumbufu sana, wanasumbua sana wananchi, wanadai dau kubwa kama Mtu hana gari inapelekwa wanakojua mwananchi akisharekebisha Tra anapofata Gari Yake hapewi badala Yake anaambiwa alipe pesa chungu nzima eti kwaajili ya ulinzi, nakwambia iwe ni Kwa Masaa au Siku moja au mbili nakwambia atadaiwa hela nyingi kuzidi ule Mshahara anao lipwa mlinzi aliyeajiriwa kwenye kampuni ya ulinzi Kama vile ktk, night support, etc! Kwa hili la leo wamegusa pabaya huenda inaweza ku draw attention kubwa itakayopelekea wananchi kuondokana na kadhia ya hao jamaa! Komaa nao kaka Adam watie akili!
 
Gari lilikuwa parked sehemu isiyostahili na mutoto wa bosi amebaki untouchable ndio kuja polisi nao wanadharauliwa
Kwa hiyo wakidharauliwa ndo wanaruhusiwa kufyatua risasi kwenye public? Ndio walivyojifunza na kuhitimu? Kama unaona ni sawa atakuwa una matope kichwani mwako badala ya ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…