Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Yes ni kweli ila kwa hili Mheshimiwa alitakiwa kutii mamlaka na kuondoa gariTatizo polisi wetu wanapenda kuabudiwa sana....
Yaani polisi anapenda ukimuona ujione kama Mbwa mbele ya Chatu....
Polisi wetu nilishaacha kuwaamini, kama ninatatizo nitaripoti kwa mjibu wa sheria kwa kumbukumbu za baadae mahamani..!
Labda tunapenda scenes na kugeuza kuwa politics za siku na kupata popularity