Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Tatizo polisi wetu wanapenda kuabudiwa sana....

Yaani polisi anapenda ukimuona ujione kama Mbwa mbele ya Chatu....

Polisi wetu nilishaacha kuwaamini, kama ninatatizo nitaripoti kwa mjibu wa sheria kwa kumbukumbu za baadae mahamani..!
Yes ni kweli ila kwa hili Mheshimiwa alitakiwa kutii mamlaka na kuondoa gari
Labda tunapenda scenes na kugeuza kuwa politics za siku na kupata popularity
 
Wao kwa wao
 
Waache wafu wazikane,Malima ccm Vs Policcm....
 
Msishangae sana kesho mkasikia amepandishwa cheo. Tena akija kuua kabisa ndipo atapandishwa cheo zaidi. Ni Africa pekee ambapo polisi wanaweza kuua mtu kwa kupaki gari vibaya.
 
Lazima kuwe na mkuu wa msafara,unadhani hao polisi wanatembea kama kuku? Kwanza uyo Malima kamheshimu sana. Mimi ningemnasa makofi.
walikuwa wa2 bila mkuu wa msafara kwa maana mmoja wao anakuwa major wa kikosi mwingine msaidizi.. ni little field work... Ok lets make a movie mimi polisi wewe malima... jokin
 
Kasema ni Adamu kigoma ali malima mbona hata picha inamuontesha au mkuu unakaidi ukweri?


Nyie watu sijuibwa aina gani. Swali niliuliza hakukuwa na pocha na mtoa mada hakusema ni mtoto wa Malima.

Baada ya kumuuliza akarekebisha. Sasa mnakomaa tuu
 
Ni kama matukio ya kipagwa? La sivyo huyo polisi alipe risasi zote alizopoteza bure! Kama alikuwa na 7bu c angemshut tu hata ya mguuni shit! Polisi nao nimabashite wanavamia vamia tu... Hivi kuvamia nayo ni kaz?{in wamitego voice }
 
Wa-Tanzania kwa kuogopa Milio ya Risasi, huku ughaibuni mimi nilikuwa ninaogopa milio ya Risasi mpaka sasa nimekwisha zoea kukitokea mtoto wa mtaani anakwenda jeshini kwenye mafunzo ya jeshi milio ya risasi inalia ovyo ovyo usiku au mchana. Kukitokea sherehe ya harusi milio ya risasi inailia hakuna kuogopa nilikuwa ninaogopa mpaka sasa nimekwisha kuzoe kila nyumba 10 basi nyumba 7 zitakuwa na watu wana Silaha ya Pistol au bunduki ni kitu cha kawaida acheni uoga Wa-Danganyika. Askari kupiga Risasi juu ni kitu cha kawaida.
 
Hakuna point hapa Naona upuuzi tu

Police hajafuzwa Ujinga kama alio ufanya huyu police
Sijaona sababu za msingi za kutumia

Silaha pale hasa nikutisha watu Na kuleta taharuki

Niujinga mkubwa mno
 

Yeye aliapa kulinda serikali ama wananchi na mali zao? After all askari huyo hakuwa provoked kama mwanzisha uzi anavyotaka tuamini, yeye alipoombwa kitambulisho, akajua ameombwa cheti!!!!
 
Mtu yeyote aliyekabidhiwa silaha ya moto, awe raia au polisi, inabidi awe na uwezo mkubwa wa kudhibiti hasira. Tukumbuke ya Ditopile na wengine kuhusu matunimizi maba ya silaha ya moto.

Vv
 
Kua kiongozi sio tija ni vizuri wakati sheria zilizo wekwa ukikosea kua na lugha nzuri.. Sio unaaanza unajua mi nani??? Wadhifa wako ni ofisini kwako watu wanachoaangalia umefanya kosa wakuadhibu..


Sawa ni kweli, lakini humtishii bunduki raia kwa kukosea kusema. Ilitakiwa Malima kama kakosea na kutofuata amri halali ya polisi basi pamoja na kosa hilo na hili lifunguliwe pamoja (kuidharau polisi) na mahakama ingeamua adhabu yake ni nini.

Bunduki ina mahali pake (jambazi, kujihami na kulinda usalama wa raia unao taka hatalishwa nk).
 
Huyo jamaa ndo wale wale bendera fuata upepo, hajui polisi ni serikali? Mtu ana nembo ya taifa mabegani bado hajui tu?
He claims to have knowledge of what he knows nothing! Any way, Msafara wa mamba....
 
Huyu askari ana elements za UKAWA...hapendi ujinga!
 
Sawa kama walikosea,kwanini wasifuate taratibu halali za kuwakamata?
lazima utenganishe kati ya kazi na ishu binafsi hivyo basi ukifuata taratibu huwezi kupandwa na jazba kiasi kile.
Jeshi linataratibu zake,ni zile?

Kwanini kama alikuwa sahihi mwenzake amtulize?
Aliona nini?
Aliyepiga risasi aliangalia wapi anapiga au alikuwa tu anapiga juu?
Hivi kila sehemu hapa nchini,juu ndiyo sehemu salama zaidi?
 
Yeye aliapa kulinda serikali ama wananchi na mali zao? After all askari huyo hakuwa provoked kama mwanzisha uzi anavyotaka tuamini, yeye alipoombwa kitambulisho, akajua ameombwa cheti!!!!
mkuu sikusikia akiombwa kitambulisho ahahahahahaha ... nice one thou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…