Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Atii sheria kwa kosa gani Acha kuwa mbugila wewe askari ana mipaka yake pia,yule ni chizi askari huwezi pigapiga kelele hovyoKwani Malima yupo juu ya sheria? Hata kama angekuwa nani alipaswa kutii amri ya askari. Haijalishi yeye nani. Swala la uheshimiwa ni baadae.
Lakini ukaikubali hekima ya Polisi kichaa.Binafsi nimepata hasira sana baada ya kuona adam malima anashindwa kutumia busara ndogo tuu ya kumuonya dareva wake aliye mis-behave,
Natugwanda twao twa team BHakuna hawa askari hua wanakurupuka sana wakishakua tu na hivo vibunduki wanajua watu watawaogopa.
Usipotii amri police anahaki ya kufyatua risasi juu ukigoma tena inatakiwa risasi ije kwa mguuUnaelewa Principles Na Maadili Ya Matumizi Ya Silaha? Hata Kama Malima Alidharau, Yule Polisi Kakosea, Hakukuwa Na Ulazima Wa Kufyatua Risasi, Vp Madhara Kwa Wananchi?
Huyo polisi anastahili kusimamishwa kazi.
Ndo mambo gani sasa hayo ya kufyatua risasi hewani kama siyo kutishia watu?
Ingekuwa ni juu yangu ningemfukuzia mbali kabisa maana hafai huyo....he is too trigger happy!
Huu ni ujinga na hizi ni style za sungusungu wa kisukuma sio askari aliepitia mafunzo.Usipotii amri police anahaki ya kufyatua risasi juu ukigoma tena inatakiwa risasi ije kwa mguu
Sent from my V7 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimesema nimemkubali sana yule polisi aliyefyatua hakika ana uchungu na watu wenye dharau dadadeki.Kijana kunywa bili niletee sitaki ujinga mimiKama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
Ni rahisi kuchukulia vyovyote uwezavyo lakini kumbuka sio kesi ya kuua mtu basi mtuhumiwa atashtakiwa kwa kesi ya "murder" kesi zingine unaua na unashtakiwa kwa kosa la "man slaughter' kulingana na mazingira ya tukio.Raia wanapoomba kumiliki silaha moja ya mambo wanayochunguzwa ni pamoja na ustahimilivu!Polisi hapaswi kuwa provoked kiasi cha kufyatua risasi hewani!Anapaswa apimwe akili
Ulimskia jamaa anasema "nimeapa Mimi huu mkanda una bendera, nimeapa" hivi alikuwa ana maanisha nini hasa!?Kweli huwa wanakurupuka na kutunisha vifua kisa magwanda waliyovaa.
Ukikutana nao wengi wao hawana kauli za kistaarabu zaidi huwa wanadhania kila mtu ni kibaka!!
Polisi ni sehemu ya nafasi za kisiasa ndio maana hata ukaguzi wa vyeti haujapita hukoPolice ni sahemu ya dola,fahamu hilo
Sikujua polisi wote ni wana CCM, Ina maana upinzani ukishika madaraka polisi wote wataachishwa kazi?
Haya tungoje Red Brigades watakapo kuwa polisi
Nimemkubali sana yule polisi natamani Magu amupandishe cheo ili watu waache ujinga wa kulewa madaraka.pumbafuulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"
Tanzania viongozi wanajiweka matiti mbele na usiye kiongozi unanyanyaswa.
Wote tuwe watii wa sheria......tusiwaangalie polisi kwa makengeza kwakuwa kila mara wako wrong
Kwani huyo dogo angeonesha kitambulisho..akakaguliwa au wakayamaliza kimyakimya kwani angedhurika!??? Ubabe usio na maana utawaCost..
Wameshaona muongozo,aliyemtolea Nape silaha kapeta!Wamesoma game,huyu akipeta basi tutegemee matukio mengi tu ya askari kutumia silaha zao hata pale pasipotakiwa kufanya hivyo!Ni rahisi kuchukulia vyovyote uwezavyo lakini kumbuka sio kesi ya kuua mtu basi mtuhumiwa atashtakiwa kwa kesi ya "murder" kesi zingine unaua na unashtakiwa kwa kosa la "man slaughter' kulingana na mazingira ya tukio.
Sio kila kesi ni murder na sio kila kosa ni kosa la polisi, ukitazama chanzo utagundua polisi alidharaulika kwa kua yeye ni polisi (kazi isiyokua na hadhi), hizi dharau viongozi wetu wa kisiasa wanazo sana, kama utakumbuka kesi ya Ditopile utagundua dharau ya viongozi wa kisiasa dhidi ya askari na dhidi ya raia