Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Dawa yake ni nini?Wewe utakuwa unawakilisha maoni ya kwenye uelewa mdogo.kwa hiyo dharau kiboko yake ni risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa yake ni nini?Wewe utakuwa unawakilisha maoni ya kwenye uelewa mdogo.kwa hiyo dharau kiboko yake ni risasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Hivi bangi imeruhusiwa kwa hawa "walinda usalama"? Sidhani kama haya ni matumizi mazuri ya silaha. Eti ana mkanda wa bendera.... So what? Nawalaumu wale jamaa ambao hawakuhakiki vyeti vya hawa vijana......!!!!! Si bure!!!! Eti ameapa.... Kama umeapa nenda Kibiti ukafanye doria!!!
Hujafundishwa raia kuheshimu askari?
Napenda hizi kauli.... Huwa zinarudiNaunga mkono kitendo cha self defence cha yule askari...Malima ni mmiliki wa bunduki ya kivita (SMG), angeweza kumzidi ujanja.
Mkuu Hawa ni wale wa matawi ya juu hawaelewi adha tukutanayo na hawa Tigo.Ni wajinga kweli hawa Tigo.Wewe utakuwa unawakilisha maoni ya kwenye uelewa mdogo.kwa hiyo dharau kiboko yake ni risasi
SadMalima amechanganyikiwa kukosa ubunge.
Askari akikupa amri lazima utii tu hata kama una haki zote.
Ingekuwa mie ni yule askari nisingepiga juu kuharibu kuharibu mazingira tu,ningempa Malima risasi kama tano za kwenye vidole vya miguu akajifunze utii bila ya shuruti
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
Uzi mzima watu wanakushangaaUsiwe narrow minded nimekupa mfano, kimsingi unapoonesha dharau tegemea feedback mbaya kutoka kwa yule uliyemdharau.
Yule jamaa anataka kuonesha jeuri ya pesa, kuna mambo kama mtu mwenye akili timamu unapaswa kutambua, heshimu askari maana wao ndio walinzi tuliowapa dhamana ya kutulinda, hata rais na viongozi wengine tunalazimika kuwaheshimu maana wana dhamana, umaarufu na utajiri wetu sio jambo la msingi sana linapokuja suala la ulinzi na usalama, ndio maana tunahitaji kuilinda amani tuliyonayo kwa nguvu zote maana hiyo amani ikipotea hata pesa zako hazina thamani tena, utatumia wapi?
Tuheshimu serikali, tuheshimu askari suala la mapungufu kila mtu analo hata wewe lazima una mapungufu yako.
Cha kujua ni kwamba askari hapendwi kirahisi kama wengi wenu mnavyodhani
Wote walimu na askari ni watu ambao wana stress za umasikini ilo linafahamika ila inapotokea mtu anashindwa kuzificha stress zake kwa kufanya ujinga hadharani alafu wanatokea mapunguani wa kumtetea hapo ndo inashangaza zaidiDharau ya pesa ndio iliyomfikisha Manji katika ule usumbufu.
Polisi wanaweza kua wanadharaulika lakini kwa siri siri sio kama walimu wanaodharaulika wazi wazi.
Kwahiyo humu ww tu ndo unajiona umepitia jkt?Askari umjibu kama mke mwenza alafu atulie tu?
Naona hukuwahi kupitia hata jkt wewe.
Ingewezekana watu wote wangepitia jkt wajue namna ya kudeal na askari.
Mambo ya kiraia na uaskari ni tofauti mno kuliko mnavyopiga kelele hapa JF.
Ndo polisi wetu hao mkuu yaani wamekosa kabisa pakufyatulia risasi ndo maana wanatafuta popote penye tukio
Kwaiyo ww unataka MTU akivunja sheria achwe sio kila kitu unalaumu askarinimeiona video yani hawa askari wetu aisee, daah,
Alaaah kumbe ww wamtete kwa mahaba kuwa hawapendwi?Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku