Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
Kibiti hapawezi. Muache afyatue angani tuu....
 
Hujafundishwa raia kuheshimu askari?

Kazi ya kwanza ni Jeshi kuheshimu Raia ,ukiheshimu RAIA automatically utaheshimika tu.

Kupokea rushwa ni kosa la jinai.Tigo muda msingi ni.kuharass RAIA ili kujipatia pesa aka rushwa.

Unless uniambie wewe pia ni wale Tigo.
 
Ingekuwa burundi hawa polisi wangevuliwa hadi magwanda, walishapiga blast wakamaliza risasi, hapo wananzengo wangekomaa kidogo tu wangewanyanganya silaha na kuwavua magwanda.

Kwa upigaji ule wa risasi hata kuruta wa jkt hawezi piga risasi hovyo hivyo, sasa nakubaliana na kangi lugola kuwa askari siku hizi hawana mafunzo.
 
Naunga mkono kitendo cha self defence cha yule askari...Malima ni mmiliki wa bunduki ya kivita (SMG), angeweza kumzidi ujanja.
Napenda hizi kauli.... Huwa zinarudi
 
Wewe utakuwa unawakilisha maoni ya kwenye uelewa mdogo.kwa hiyo dharau kiboko yake ni risasi
Mkuu Hawa ni wale wa matawi ya juu hawaelewi adha tukutanayo na hawa Tigo.Ni wajinga kweli hawa Tigo.
 
Sad
 
Unasema risasi zalindima kama njugu mbona video inaonyesha kufyatuliwa kwa risasi moja tu.
 
Uzi mzima watu wanakushangaa
Kaka umewahi nenda walau jkt?
Au tuseme unachochibu ndo tunachofundishwa kambini?
Kaka tunasheria zetu hatutoagi risasi kirahisi kama unavoshadidia kaka.Unaonekana hujui sheria na sifa za polisi bora ukae kimya tu kaka.Wapo watu hum zaidi ya uyo alifyatua risasi ovyo wanajua ni kosa sasa bora ukae kimya tu.
 
Dharau ya pesa ndio iliyomfikisha Manji katika ule usumbufu.
Polisi wanaweza kua wanadharaulika lakini kwa siri siri sio kama walimu wanaodharaulika wazi wazi.
Wote walimu na askari ni watu ambao wana stress za umasikini ilo linafahamika ila inapotokea mtu anashindwa kuzificha stress zake kwa kufanya ujinga hadharani alafu wanatokea mapunguani wa kumtetea hapo ndo inashangaza zaidi
 
Siku mojawapo ya sifa ya kuwa askari polisi ikawa kuwa na angalau na cheti cha sheria, nchi itatulia.
 
Sion kama kulikuwa na haja ya kupiga risasi,ila ni dhahiri alionekana amepanic kitu ambacho si kizur kwa Askari hasa ukizingatia alikuwa na silaha hivyo angeweza kuleta madhara makubwa,ni muhimu Askari kuonesha ustaarabu wa kutotumia chombo cha moto kwa Raia hasa wasiokuwa na Silaha au wasiokuwa wakaidi,kwa video hii ni dhahiri Askari Polis alihatarisha usalama wa Raia
 
kama vyeti feki viki fika polisi kwa huu mkanda na zani tuta hesabu polisi sasa nchi nzima
 
Askari umjibu kama mke mwenza alafu atulie tu?

Naona hukuwahi kupitia hata jkt wewe.

Ingewezekana watu wote wangepitia jkt wajue namna ya kudeal na askari.
Mambo ya kiraia na uaskari ni tofauti mno kuliko mnavyopiga kelele hapa JF.
Kwahiyo humu ww tu ndo unajiona umepitia jkt?
Jkt funzo la kwanza usikubali kukamatwa na polisi yeyote bila kukuonyesha kitambulisho chake.
 
Kila mtu humlaumu askari wakati wa amani.
Kukichafuka ndio askari anaonekana muhimu na kuheshimika, kimsingi askari hapendeki kwa sababu anazuia mambo mengi yanayogusa maisha ya watu ya kila siku
Alaaah kumbe ww wamtete kwa mahaba kuwa hawapendwi?
Bahat yako ni ethic kujitambulisha wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…