Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Subiri siku ukiwa Dar halafu ukiendesha gari ndio utajua pale hatuna vyombo vya usalama. Tuna matapeli tu wenye nembo na viapo vya Taifa. Wewe ushaona wapi askari anajificha porini au kupanda juu ya mti. Mkuu, Bongo dunia nyingine kabisa. Hao majembe ni wasumbufu bora ukutane na kundi simba wenye njaa.Acha mawazo finyu.
Yeye tu ndiye ana gari au yeye pekee ndiye aliyepita barabara hiyo!?
Mbona hawajakamata wote watumiaji wa eneo hilo!?
Binafsi, huwa sitetei wavunja sheria hata wawe kwenye familia yangu!
Wewe ulikuwepo eneo la Tukio? Haitakuja kutokea majembe wakuonye au wakwambie ondoa gari yako kwa kuwa umepaki pasiporuhusiwa. NEVER. Hata trafiki wachache sana ndio wako kikazi. Mmoja wapo hua anasimama mitaa ya samora au central jioni. Huyo ndio kwa uzoefu wangu ni more than police. Nadhani yuko huko kwa bahati mbaya. Watumiaji wa barabara ya Samora jioni bila shaka wanamjua huyu trafiki.Inaonesha kijana uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo! Kuna msemo unasema; TII SHERIA BILA SHURUTI. Malima angetii amri na kumwambia dereva wake aondoa gari pale alipo park unadhani haya yaliyotokea yangejitokea? Mbona tunakuwa wepesi wa kulaumu tena upande mmoja?
Pindi walivyouawa wale askari wa 8 kuna wajinga baahdi humuhumu kwenye mitandao walikuwa wanafurahia, Ila waungwana wakawa wanawauliza; wangekuwa ndugu zenu Ungefurahia!?..
Enzi ya kubembelezana ya Mzee bure ilishaisha. Vijana mjitambue, sio kuishia kulaumu tu, mnapoteza muda wa fikra chanya. Sisemi kwamba askari polisi eti wapo perfect kwa 100%, 100% hapana. Ila kwa hili mh. Malina kachemka.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Watanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?
Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
Ile ni self defense?Naunga mkono kitendo cha self defence cha yule askari...Malima ni mmiliki wa bunduki ya kivita (SMG), angeweza kumzidi ujanja.
Mkuu hawa askari ni zehoooo..wafaransa wanakwambia...awamu hii hawa jamaa viongoz wamejifunza mengi sana awawezi leta ujuaji huo...amini na kwambia..ila power walio nayo sasa hawa askari ndo kutwa ku misuse...nina mwezi tuu nimekua harassed kwenye mambo yasio na tija na askari...wanajua kushambulia hawataki maelezo alafu mkihojiana mbele ya mkuu wao wanajifanya wanakula kona..yani miakili makalioni kabisaaHapo malima alikuwa analeta ile unajua mm ni nani, ukiona hadi huyo polisi kamind kiasi hiko, kuna kitu alikuwa kafanyiwa na jamaa. Kumbuka yule traffic alietukanwa na mke wa waziri maiga, hawa watu wenye uwezo kifedha wamekuwa wakiwadharau askari wetu
Mkuu unachanganya mada ujue.Wewe ulikuwepo eneo la Tukio? Haitakuja kutokea majembe wakuonye au wakwambie ondoa gari yako kwa kuwa umepaki pasiporuhusiwa. NEVER. Hata trafiki wachache sana ndio wako kikazi. Mmoja wapo hua anasimama mitaa ya samora au central jioni. Huyo ndio kwa uzoefu wangu ni more than police. Nadhani yuko huko kwa bahati mbaya. Watumiaji wa barabara ya Samora jioni bila shaka wanamjua huyu trafiki.
Pia kuna haja Raia kuelewa somala (Kutii sheria bila shuruti), hasa kwa viongozi wetu ambao tulitegemea watakuwa mfano bora.fuatilia video vizuri mkuu huyo polisi hakupiga risasi kwa lengo la kutawanya wananchi bali kuonyesha ubabe tena anapiga kwa mkono mmoja huku akijinadi atamfanya nini wakati yeye amevalishwa mkanda wa bendera
na mda huo watu waote wapo pembeni ya barabara wanaangalia movie ambapo yupo malima (AKIWA AMEWEKA MIKONO MFUKONI) huyo askari na askari mwenzake aliyekua anamzuia kwani alkua anafahamu sio sahihi alichokua anafanya mwenzake
japo kwa upande mwingine malima alikosea ila huyo askari alikosea zaidi sio kwa kupanic kule ingekua ni mke wake amemfumania si angelipua gesti kabisa kuna haja ya kuwafundisha askari wetu kucontrol emotion zao
Yes!Ile ni self defense?
Sijasikia mkuu bosi wao kasemaje??Wanjusanya kodi, hujusikia bosi sao alivosema?
Nani kakwambia cha moto kinakaa mfukoni,,acha mbwembweKwa umbali kati ya malima na askari asingeweza kumpiga risasi ni umbali mfupi mno na malima chamoto alikuwa nacho ndio maana muda wote mikono ilikuwa mfukoni.
wakati njagu anarapu malima alikuwa akizidi kumsogelea huku mikono iko mfukoni. Angejaribu kumlenga angepewa ya kichwa fasta. Malima ni mtu wa usalama siku nyingi na anajua kuchezea vyuma.
Inatisha sana pale Bwana RC atakapoagiza yule afande wetu aliyekuwa akisimamia utekelezaji sheria atakapotaka ahamishiwe mkoa wa RC wetu mpendwa ndipo atakapolia na kusaga meno huku akikumbuka yale maneno "... unanijua mimi nani?"Maalima yuko huru baada ya DPP kuondoa kesi Mahakamani.
Pole Afande
Inatisha sana pale Bwana RC atakapoagiza yule afande wetu aliyekuwa akisimamia utekelezaji sheria atakapotaka ahamishiwe mkoa wa RC wetu mpendwa ndipo atakapolia na kusaga meno huku akikumbuka yale maneno "... unanijua mimi nani? Ni noma aiseee