Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo.
Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa Urusi. SMO Imefanywa kama test ground ya silaha zao mpya. Mistrust iliyopo katika dunia ndio inaleta mtafaruku.
Kuhusu sera ya utanuzi hapa Urusi inafanya hivyo kwa makusudi angalia Kuril islands karibu na Kapani ni kwaajili ya kulinda eneo lake mashariki ya mbali ikiwemo Vladivostok na njia rahisi kwa meli zake kupita bila shida.
Vivyo hivyo sea of Azov, Baltic sea, Caspian sea etc China nae anafanya hivyo South China sea kimkakati.
Hata vita vya Ukraine vikiisha leo bado vitaibuka tu, kuna watu hawataridhika.
Hayo tu kwa kifupi.