kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku
yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika
nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza wenyeji wanadai hii hali wameizoea na wanaumia lakini hawana jinsi
Masama Hai Kilimanjaro ni eneo la hatari sana kwa shughuli za kiuchumi kutokana na katika katika ya umeme
Tanesco Hai nyie ndo tawi la hovyo la Tanesco hapa nchini na duniani sijawahi ona balaa kama hili nililoliona hapa Masama umeme kukatika mara 50 hii ni balaa na nusu na imevunja rekodi