KERO Masama, Kilimanjaro umeme hukatika mara 50 kwa siku

KERO Masama, Kilimanjaro umeme hukatika mara 50 kwa siku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kweli Tanzania kwa sasa imeendelea hadi watu wa Masama Kilimanjaro sasa hivi wanatumia umeme Aisee
Mkuu unafahamu ukitoa Zanzibar, dar es Salam, kilimanjaro ndio iliyofuata kupata umeme?
 
Mkuu unafahamu ukitoa Zanzibar, dar es Salam, kilimanjaro ndio iliyofuata kupata umeme?
By then mm nazaliwa nimekuta umeme kijijini..... Rombo kipindi hiko...

Yaani sijisifu Ila Kuna maeneo mengi nimeenda ya nchi hii Ila kule home kulikuwa Kuna ka unafuu na huko nililokuwa ukitoa maeneo ya mijini!
 
Mkuu unafahamu ukitoa Zanzibar, dar es Salam, kilimanjaro ndio iliyofuata kupata umeme?
Kilimanjaro kubwa wako waliowahi kuchangamka kimaendeleo na kupata umeme mapema mfano upareni na baadhi ya maeneo uchagani walipata umeme na simu vilifika milimani mapema sana lakini sio Masama aisee

Ndio maana nikashangaa kuwa watu wa Masama wanatumia umeme nao siku hizi?

Kweli maendeleo Kilimanjaro yamesonga sana
 
Back
Top Bottom