'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Tunataka wawepo wote ili baada ya kuwapa kipigo,kusiwepo na visingizio.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 




Yellow card zina shida gani? Hamna facts mnaokoteza taarifa za wachambuzi hewa wa Kariakoo
 
Mkuu Lupweko, pamoja na kwamba umewahi kutoa Kanuni ulizoziweka hapa, Kanuni inayotumika hapo ni ya kwanza (1). Hiyo ya 3 ni kwa maonyo ambayo hayasababishi kusimamishwa...mfano kadi 1 au 2 za njano kwenye michezo tofauti ya hatua za makundi. Kabla ya kulenga kukosoa, elewa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…