'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

Utopolo washindwe wenyewe tu
 
Nimeokoteza au nimetafuta mwenyewe? Mkuu, kadi 3 za njano huweza kumsimamisha mchezaji kucheza...hata hapa Tanzania hutokea hivyo
Huwa ninadahani ni kadi tatu katika mashindano yapil kaani kwa mfano kama ana kadi mbili kwenye Azam Federation, na kadi moja kwenye NBC Premier sidhani kama hizo zitamzuia kucheza kwenye CAF Championship.

Hebu toa ufafanuzi kidogo kabla sijapanda jukwaani kupiga kelele waondolewe kwenye roster.

Yello cards za Ronwen Williams zote ni huko kwenye ligi ya South Africa DSTv Previewreship

Ni mashindano ya CAF Mkuu
 
Sasa nimechemka nini Mkuu? Mimi nimeleta habari yangu, nawe umeleta yako...vyanzo tofauti.
 
Sasa nimechemka nini Mkuu? Mimi nimeleta habari yangu, nawe umeleta yako...vyanzo tofauti.
Sasa nimechemka nini Mkuu? Mimi nimeleta habari yangu, nawe umeleta yako...vyanzo tofauti.
Vyanzo vyote vinaonyesha takwimu sawa, tatizo umekilisha maneno chanzo chako. Inachoonyeshwa hapo yellow card 3 ni za ligi ya ndani sio CAFCL kama unavyotaka kumaanisha wewe
 
Vyanzo vyote vinaonyesha takwimu sawa, tatizo umekilisha maneno chanzo chako. Inachoonyeshwa hapo yellow card 3 ni za ligi ya ndani sio CAFCL kama unavyotaka kumaanisha wewe
Wapi kwenye mada yangu nimesema unavyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…