The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kama kuna watu wanamdaganya eti ooh wewe ni kioo cha jamii mara pasta
Huo ni uboya. Mtu yeyote anayejielewa hawezi kukubali upuuzi uliofanywa na Monica.
Kuendelea kuishi naye ni kujitakia maumivu ya moyo maisha yake yote.
Let it go. Waafrica tudanganyana Sana eti ndoa za maisha, Bill gate kavunja ndoa utakuwa we masanja.
Kwanza mtaishije humo ndani na watoto wasio wako. Au ndo tusubiri tusikie mmechinjana. Let it go continue with your hustles man.
Utampendaje mwanamke asiyekuheshimu umerogwa au yaani achepuke Hadi kukuletea watoto wote wa nje what the F**k dharau ya namna gani hiyo acha uboya piga chini akwende zake.