grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Moja ya nyimbo yake mpya ina chorus hii nanukuuKama kuna watu watu wanamdaganya eti ooh wewe ni kioo cha jamii mara Pasta. Huo ni uboya. Mtu yeyote anayejielewa hawezi kukubali upuuzi uliofanywa na Monica.
Kuendelea kuishi naye ni kujitakia maumivu ya moyo maisha yake yote. Let it go. Waafrika tudanganyana sana, eti ndoa za maishai, Bill Gate kavunja ndoa utakuwa we Masanja.
Kwanza mtaishije humo ndani na watoto wasio wako? Au ndiyo tusubiri tusikie mmechinjana. Let it go, continue with your hustles man.
Utampendaje mwanamke asiyekuheshimu, umerogwa au? Yaani achepuke hadi kukuletea watoto wote wa nje what the F**k, dharau ya namna gani hiyo? Acha uboya piga chini akwende zake.
"Monica wee sikuachii ,monica wee sikuachi hata waseme niniii sikuachiii......"