Masanja atoa ushuhuda kwa wanaodai kuwa hajaokoka

Masanja atoa ushuhuda kwa wanaodai kuwa hajaokoka

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii Masanja mkandamizaji ametoa ushuhuda wake juu ya maisha yake kwa watu ambao wanadai hajaokoka
Masanja amedai amepitia msoto mtakatifu na alikuwa anatembeza juisi mtaani kwenye magari na jua kali na juisi hizo alikuwa amekopa
Ila kwa sasa amebarikiwa na mungu na anapita maeneo aliyokuwa anapita na na jua kali akiwa kwenye gari lenye 'full unyunyu' na watu wasikate tamaa
 
Wauza unga yule raisi wa Filipino naomba aje bongo tumpe uwaziri wa mambo ya ndani kwa mwezi mmoja tu hao wanaojiita majogoo ya town yatayeyuka yote
 
Kwahiyo ukiokoka kama ulikuwa kwenye msoto unafanikiwa ..........Ina maana huko wanagawa pesa au ...... Kuna watu wana pesa ndefu,lakini hawajawahi kuingia kanisani hata kwa bahati.
 
Yaan dhambi zote tunazofanya jamani,lkn bado Tunaendelea kuleta utani Na MUNGU,tunajua tunayoyafanya,lkn tunatumia mwamvuli wa kanisa...Aya Hongera mtumishi+mkulima wa mpunga+masanja wali nyama+burger
 
Watu wanapenda sana kuconnect pesa na Wokovu.......hivi ukiokoka ndio unapata pesa au wokovu ni usafi wa roho?
 
Back
Top Bottom