wapi nimepotoshaAcha kupotosha
Katibu wa Bodi ndio mratibu na muandaaji wa Mikutano yote ya bodi ikiwemo kuandaa board paper
Ushawishi wake ni mkubwa zaid ukiondoa wa mwenyekiti
Wapi Masanja wawili kwenye storyKwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka
Sasa naomba majibu ya swali langu
Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo chake cha Mkurugenzi mkuu wa TRC
Sasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa kwenye Bodi je bado ana uhalali wa kuendelea kuwa MD na ikiteuliwa Bodi nyingine arudi tena kama Katibu?
Nipo hapa kuelimishwa
Shujaa : Nitawaletea Treni ile Watoto wa Mjini wanaiita " Mjusi"
PaschalYes yeye anaendelea kwasababu yeye ni mtu safi, hahusiki ila najua kuna watu wana hamu sana Wasukuma wote walioteuliwa na Magufuli, watumbuliwe kwasababu wanadhani waliteuliwa kwa Usukuma wao na sio kwa sifa zao na vigezo.
Mama akifanya kosa hili, la kuwatumbua Wasukuma kwasababu tuu ni Wasukuma na waliteuliwa na Msukuma, atakuwa anatenda dhambi kubwa ya ubaguzi!. Japo Rais Magufuli ni Msukuma, sijui ni wangapi humu wanafahamu kwanini ni Magufuli, Mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanafahamu why ni Magufuli https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/
Na japo Magufuli alijaza Wasukuma baadhi ya maeneo, niliwahi kulishauri Bunge letu lichunguze https://www.jamiiforums.com/threads...bu-na-zile-boeing-ni-tt-then-hatufai.1246099/
Hivyo japo ni kweli Magufuli aliwateua Wasukuma wengi lakini hakuwateua kwa sababu ya Usukuma wao, aliwateua kwasababu ya kukidhi sifa na vigezo https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/
Hivyo Mama akifanya kosa la kuwatumbua Wasukuma kwa Usukuma wao, atakuwa amefanya kosa kubwa la dhambi ya ubaguzi, karma haitamuacha Mama salama!.
Japo hakuna mtu yoyote ajuaye ni kwanini JPM ameitwa mapema, lakini wapo watu wanaojua na sababu wanazijua, hivyo wana jukumu la kumsaidia Mama kuepuka mambo yanayotengeneza bad karma
Inabidi kwenye vile vikao kazi vyao na semina elekezi wawe wanaita na watu wa holistic advice ili wafundishwe kitu kinachoitwa karma, it's real na kuhakikisha wanapoboronga, wanapisha tuu wenyewe ili kumlinda Mama https://www.jamiiforums.com/threads...shia-rais-wetu-kubeba-mzigo-wa-karma.1946897/
P
Kama hakufaa Kwenye bodi atafaaje kuwa MD? Au kule alikuwa Hana say?Bado ni MD, ndio maana ht ile barua haijamtaja kwa jina ila kwa 'bodi'
TRA ina mkurugenzi au Kamishna?Mbona boss wa TRA siyo Katibu wa Bodi 🤩🤩
Ndio huyo huyo CGTRA ina mkurugenzi au Kamishna?
Umeishia darasa la ngapi mkuu?Ndio huyo huyo CG
La pili BUmeishia darasa la ngapi mkuu?
Kama magufuli aliteuwa wasukuma wengi kwa nn unamshauri mama asiwatoe?Yes yeye anaendelea kwasababu yeye ni mtu safi, hahusiki ila najua kuna watu wana hamu sana Wasukuma wote walioteuliwa na Magufuli, watumbuliwe kwasababu wanadhani waliteuliwa kwa Usukuma wao na sio kwa sifa zao na vigezo.
Mama akifanya kosa hili, la kuwatumbua Wasukuma kwasababu tuu ni Wasukuma na waliteuliwa na Msukuma, atakuwa anatenda dhambi kubwa ya ubaguzi!. Japo Rais Magufuli ni Msukuma, sijui ni wangapi humu wanafahamu kwanini ni Magufuli, Mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanafahamu why ni Magufuli https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/
Na japo Magufuli alijaza Wasukuma baadhi ya maeneo, niliwahi kulishauri Bunge letu lichunguze https://www.jamiiforums.com/threads...bu-na-zile-boeing-ni-tt-then-hatufai.1246099/
Hivyo japo ni kweli Magufuli aliwateua Wasukuma wengi lakini hakuwateua kwa sababu ya Usukuma wao, aliwateua kwasababu ya kukidhi sifa na vigezo https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/
Hivyo Mama akifanya kosa la kuwatumbua Wasukuma kwa Usukuma wao, atakuwa amefanya kosa kubwa la dhambi ya ubaguzi, karma haitamuacha Mama salama!.
Japo hakuna mtu yoyote ajuaye ni kwanini JPM ameitwa mapema, lakini wapo watu wanaojua na sababu wanazijua, hivyo wana jukumu la kumsaidia Mama kuepuka mambo yanayotengeneza bad karma
Inabidi kwenye vile vikao kazi vyao na semina elekezi wawe wanaita na watu wa holistic advice ili wafundishwe kitu kinachoitwa karma, it's real na kuhakikisha wanapoboronga, wanapisha tuu wenyewe ili kumlinda Mama https://www.jamiiforums.com/threads...shia-rais-wetu-kubeba-mzigo-wa-karma.1946897/
P
Rejea thread zilizopita.Mhe Rais amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa TRC. Kwa uelewa wangu Bodi yeyote inaundwa na Mwenyekiti, Wajumbe na Mtendaji Mkuu wa Taasisi husika. Swali langu Je Mtendaji Mkuu wa TRC pia ameondolewa?. Kama jibu ni hapana ni kwa nini hakuondolewa yeye akiwa "Think Tank" katika Bodi hiyo.
Mtendaji mkuu wa Taasisi yeye si sehemu ya wajumbe wa Bodi..Mhe Rais amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa TRC. Kwa uelewa wangu Bodi yeyote inaundwa na Mwenyekiti, Wajumbe na Mtendaji Mkuu wa Taasisi husika. Swali langu Je Mtendaji Mkuu wa TRC pia ameondolewa?. Kama jibu ni hapana ni kwa nini hakuondolewa yeye akiwa "Think Tank" katika Bodi hiyo.
Manejimenti sio sawa ba Bodi. Watendaji wakuu wanaingia kwenye bodi za taasisi zao kwa nyadhifa zao na kuwa Katibu wa bodi. Angetenguliwa nafasi yake ya CEO kabla ya kuvunjwa bodi, ndio atapoteza sifa ya kuingia kwenye bodi.Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka
Sasa naomba majibu ya swali langu
Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo chake cha Mkurugenzi mkuu wa TRC
Sasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa kwenye Bodi je bado ana uhalali wa kuendelea kuwa MD na ikiteuliwa Bodi nyingine arudi tena kama Katibu?
Nipo hapa kuelimishwa
Shujaa : Nitawaletea Treni ile Watoto wa Mjini wanaiita " Mjusi"
Mbona sababu nimeziweka https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/ kuwa JPM hakuteua Wasukuma wengi kwa sababu ya Usukuma wao, bali kati ya watu milioni 60 wa Tanzania, Wasukuma ni 20 millions! ambao ni theluthi moja ya Watanzania hivyo kwenye kila watu watatu mmoja lazima awe Msukuma, alivyofanya JPM ni kuwapatia their deserving positions.Kama magufuli aliteuwa wasukuma wengi kwa nn unamshauri mama asiwatoe?
katibu kwenye bodi ni mshauri tu na.mwandika muhtasari
kuna wakati unaweza shauri hili lisifanyike ila wajumbe wa bodi wakaamua wafanye kwa mapenzi yao katibu utafanya nini
kama kwenye uvurundaji katibu alikuwa akishauri tofauti na doc. zipo hana hatia
ikirudi bodi nyingine anarudi tena
Manejimenti sio sawa ba Bodi. Watendaji wakuu wanaingia kwenye bodi za taasisi zao kwa nyadhifa zao na kuwa Katibu wa bodi. Angetenguliwa nafasi yake ya CEO kabla ya kuvunjwa bodi, ndio atapoteza sifa ya kuingia kwenye bodi.
Ni kama Mwanasheria Mkuu anavyokuwa bungeni. Bunge likivunjwa mwanasheria Mkuu atabaki kuwa AG. Lakini akitenguliwa AG yake, basi haingii tena bungeni.
Watu wana chuki hadi akili hazichaji vizuri.
Wasikupotoshe.
Kuna Utata sana..nadhani hili suala lina mkanganyiko.
..kwa mfano kuna wakati Raisi alivunja bodi ya wakurugenzi ya Tra kwa kuituhumu kufanya makosa fulani.
..sasa ndani ya bodi ya Tra kuna wajumbe kama Katibu Mkuu Hazina ambao wanaingia ktk bodi kwa nafasi zao.
..sasa mimi nilidhani kama mhusika ametimuliwa ktk bodi ya Tra basi atatimuliwa hata huko alikotokea.
..kama Raisi ameona mhusika amefanya madudu akiwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Tra, anawezaje kuendelea kumteua / kumuacha ktk nafasi ya Katibu Mkuu Hazina?
Katibu Mkuu Hazina ni individual responsibility. Ndani ya bodi kuna collective responsibility...nadhani hili suala lina mkanganyiko.