Masanja Kadogosa katumbuliwa kama Katibu wa Bodi ya TRC. Je, anabaki na Ukurugenzi wake? Kama anabaki nao ni halali?

Acha kupotosha

Katibu wa Bodi ndio mratibu na muandaaji wa Mikutano yote ya bodi ikiwemo kuandaa board paper

Ushawishi wake ni mkubwa zaid ukiondoa wa mwenyekiti
wapi nimepotosha
mzee kuratibu na kuandaa haimpi mamlaka ya maamuzi (maamuzi yako kwa mwenyekiti na bodi yake)

katibu hutoa ufafanuzi wa kitaalamu kwa bodi (na wala bodi hailazimishwi kuukubali )

katibu ni mshauri tu kwenye bodi hana maamuzi yoyote

hii kuandaaa mikutano, kuandaa agenda mbona n kazi zake za kawaida unaona umenambia.jambo jipya
 
Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka

Sasa naomba majibu ya swali langu

Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo chake cha Mkurugenzi mkuu wa TRC

Sasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa kwenye Bodi je bado ana uhalali wa kuendelea kuwa MD na ikiteuliwa Bodi nyingine arudi tena kama Katibu?

Nipo hapa kuelimishwa

Shujaa : Nitawaletea Treni ile Watoto wa Mjini wanaiita " Mjusi"
Wapi Masanja wawili kwenye story
 
Yes yeye anaendelea kwasababu yeye ni mtu safi, hahusiki ila najua kuna watu wana hamu sana Wasukuma wote walioteuliwa na Magufuli, watumbuliwe kwasababu wanadhani waliteuliwa kwa Usukuma wao na sio kwa sifa zao na vigezo.

Mama akifanya kosa hili, la kuwatumbua Wasukuma kwasababu tuu ni Wasukuma na waliteuliwa na Msukuma, atakuwa anatenda dhambi kubwa ya ubaguzi!. Japo Rais Magufuli ni Msukuma, sijui ni wangapi humu wanafahamu kwanini ni Magufuli, Mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanafahamu why ni Magufuli https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/

Na japo Magufuli alijaza Wasukuma baadhi ya maeneo, niliwahi kulishauri Bunge letu lichunguze https://www.jamiiforums.com/threads...bu-na-zile-boeing-ni-tt-then-hatufai.1246099/

Hivyo japo ni kweli Magufuli aliwateua Wasukuma wengi lakini hakuwateua kwa sababu ya Usukuma wao, aliwateua kwasababu ya kukidhi sifa na vigezo https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/

Hivyo Mama akifanya kosa la kuwatumbua Wasukuma kwa Usukuma wao, atakuwa amefanya kosa kubwa la dhambi ya ubaguzi, karma haitamuacha Mama salama!.

Japo hakuna mtu yoyote ajuaye ni kwanini JPM ameitwa mapema, lakini wapo watu wanaojua na sababu wanazijua, hivyo wana jukumu la kumsaidia Mama kuepuka mambo yanayotengeneza bad karma

Inabidi kwenye vile vikao kazi vyao na semina elekezi wawe wanaita na watu wa holistic advice ili wafundishwe kitu kinachoitwa karma, it's real na kuhakikisha wanapoboronga, wanapisha tuu wenyewe ili kumlinda Mama https://www.jamiiforums.com/threads...shia-rais-wetu-kubeba-mzigo-wa-karma.1946897/
P
Paschal
Tusimame kwenye ukweli tuache favour favour
Kama Mh. Rais angetaka kumuondoa kadogosa sababu ni msukuma angefanya hivyo but kadogosa anatuhumiwa kwa kuendesha kandarasi Tena yenye Bei ya juu na kuletela hasara
Sasa kadogosa ni mtu safi, mkarimu, very social man kila mtu anajua but kwa kashfa hii anaachwa Ili iweje

Hapa ishu sio usukuma
 
Ndiyo matatizo ya kofia 2. Ni sawa na CCM inakaa chini ya mwenyekiti wa ccm (rais) kuitaka serikali (inayoongozws na huyo huyo mwenyekiti) ikamilishe miradi.

Mbwa kala mbwa!
 
Yes yeye anaendelea kwasababu yeye ni mtu safi, hahusiki ila najua kuna watu wana hamu sana Wasukuma wote walioteuliwa na Magufuli, watumbuliwe kwasababu wanadhani waliteuliwa kwa Usukuma wao na sio kwa sifa zao na vigezo.

Mama akifanya kosa hili, la kuwatumbua Wasukuma kwasababu tuu ni Wasukuma na waliteuliwa na Msukuma, atakuwa anatenda dhambi kubwa ya ubaguzi!. Japo Rais Magufuli ni Msukuma, sijui ni wangapi humu wanafahamu kwanini ni Magufuli, Mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanafahamu why ni Magufuli https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/

Na japo Magufuli alijaza Wasukuma baadhi ya maeneo, niliwahi kulishauri Bunge letu lichunguze https://www.jamiiforums.com/threads...bu-na-zile-boeing-ni-tt-then-hatufai.1246099/

Hivyo japo ni kweli Magufuli aliwateua Wasukuma wengi lakini hakuwateua kwa sababu ya Usukuma wao, aliwateua kwasababu ya kukidhi sifa na vigezo https://www.jamiiforums.com/threads...enye-ukabila-tatizo-ndio-walio-wengi.1290353/

Hivyo Mama akifanya kosa la kuwatumbua Wasukuma kwa Usukuma wao, atakuwa amefanya kosa kubwa la dhambi ya ubaguzi, karma haitamuacha Mama salama!.

Japo hakuna mtu yoyote ajuaye ni kwanini JPM ameitwa mapema, lakini wapo watu wanaojua na sababu wanazijua, hivyo wana jukumu la kumsaidia Mama kuepuka mambo yanayotengeneza bad karma

Inabidi kwenye vile vikao kazi vyao na semina elekezi wawe wanaita na watu wa holistic advice ili wafundishwe kitu kinachoitwa karma, it's real na kuhakikisha wanapoboronga, wanapisha tuu wenyewe ili kumlinda Mama https://www.jamiiforums.com/threads...shia-rais-wetu-kubeba-mzigo-wa-karma.1946897/
P
Kama magufuli aliteuwa wasukuma wengi kwa nn unamshauri mama asiwatoe?
 
Mhe Rais amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa TRC. Kwa uelewa wangu Bodi yeyote inaundwa na Mwenyekiti, Wajumbe na Mtendaji Mkuu wa Taasisi husika. Swali langu Je Mtendaji Mkuu wa TRC pia ameondolewa?. Kama jibu ni hapana ni kwa nini hakuondolewa yeye akiwa "Think Tank" katika Bodi hiyo.
 
Rejea thread zilizopita.
Futa hii
 
Mhe Rais amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa TRC. Kwa uelewa wangu Bodi yeyote inaundwa na Mwenyekiti, Wajumbe na Mtendaji Mkuu wa Taasisi husika. Swali langu Je Mtendaji Mkuu wa TRC pia ameondolewa?. Kama jibu ni hapana ni kwa nini hakuondolewa yeye akiwa "Think Tank" katika Bodi hiyo.
Mtendaji mkuu wa Taasisi yeye si sehemu ya wajumbe wa Bodi..
 
Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka

Sasa naomba majibu ya swali langu

Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo chake cha Mkurugenzi mkuu wa TRC

Sasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa kwenye Bodi je bado ana uhalali wa kuendelea kuwa MD na ikiteuliwa Bodi nyingine arudi tena kama Katibu?

Nipo hapa kuelimishwa

Shujaa : Nitawaletea Treni ile Watoto wa Mjini wanaiita " Mjusi"
Manejimenti sio sawa ba Bodi. Watendaji wakuu wanaingia kwenye bodi za taasisi zao kwa nyadhifa zao na kuwa Katibu wa bodi. Angetenguliwa nafasi yake ya CEO kabla ya kuvunjwa bodi, ndio atapoteza sifa ya kuingia kwenye bodi.
Ni kama Mwanasheria Mkuu anavyokuwa bungeni. Bunge likivunjwa mwanasheria Mkuu atabaki kuwa AG. Lakini akitenguliwa AG yake, basi haingii tena bungeni.
Watu wana chuki hadi akili hazichaji vizuri.
Wasikupotoshe.
 
katibu kwenye bodi ni mshauri tu na.mwandika muhtasari

kuna wakati unaweza shauri hili lisifanyike ila wajumbe wa bodi wakaamua wafanye kwa mapenzi yao katibu utafanya nini

kama kwenye uvurundaji katibu alikuwa akishauri tofauti na doc. zipo hana hatia

ikirudi bodi nyingine anarudi tena

..kwa uelewa wangu mkurugenzi mkuu wa shirika huwasilisha mapendekezo au mpango kazi halafu bodi ya wakurugenzi humpa ruhusa ya kutekeleza.

..kwangu mimi inaniwia vigumu kuamini kwamba bodi ya wakurugenzi ya shirika inaweza kuwa imekosea, na mkurugenzi mkuu akawa hahusiki na makosa hayo.
 
Manejimenti sio sawa ba Bodi. Watendaji wakuu wanaingia kwenye bodi za taasisi zao kwa nyadhifa zao na kuwa Katibu wa bodi. Angetenguliwa nafasi yake ya CEO kabla ya kuvunjwa bodi, ndio atapoteza sifa ya kuingia kwenye bodi.
Ni kama Mwanasheria Mkuu anavyokuwa bungeni. Bunge likivunjwa mwanasheria Mkuu atabaki kuwa AG. Lakini akitenguliwa AG yake, basi haingii tena bungeni.
Watu wana chuki hadi akili hazichaji vizuri.
Wasikupotoshe.

..nadhani hili suala lina mkanganyiko.

..kwa mfano kuna wakati Raisi alivunja bodi ya wakurugenzi ya Tra kwa kuituhumu kufanya makosa fulani.

..sasa ndani ya bodi ya Tra kuna wajumbe kama Katibu Mkuu Hazina ambao wanaingia ktk bodi kwa nafasi zao.

..sasa mimi nilidhani kama mhusika ametimuliwa ktk bodi ya Tra basi atatimuliwa hata huko alikotokea.

..kama Raisi ameona mhusika amefanya madudu akiwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Tra, anawezaje kuendelea kumteua / kumuacha ktk nafasi ya Katibu Mkuu Hazina?
 
Kuna Utata sana
 
Katibu Mkuu Hazina ni individual responsibility. Ndani ya bodi kuna collective responsibility.
 
Back
Top Bottom