Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hata mimi logic sioni!!Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka.
Sasa naomba majibu ya swali langu.
Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo chake cha Mkurugenzi mkuu wa TRC.
Sasa Masanja Mkandamizaji katumbuliwa kwenye Bodi je bado ana uhalali wa kuendelea kuwa MD na ikiteuliwa Bodi nyingine arudi tena kama Katibu?
Nipo hapa kuelimishwa
Shujaa: Nitawaletea Treni ile Watoto wa Mjini wanaiita "Mjusi"
Kama mnataka Kadogosa awajibike au awajibishwe, kuweni wawazi. Sio kubisha vitu ambavyo viko wazi. Nashiriki vikao, najua nafasi ya mwenyekiti, najua influence ya mwenyekiti. Mwenyekiti mnyonge hafai kuwa mwenyekiti.k
kuna vitu huelewi
ama unavyo hisi viko hivyo ni hapana
ukiwa katibu wewe ndo mtaalamu na hushauri nini kifanyike, kama ulicho shauri wajumbe hawajakubaliana nacho kwenye muhtasari una andika ushauri wako ulikuwa vp na wajumbe waliamua vipi
kuwa mwenyekiti na kusaini document haikufanyi usaini unacho taka wewe tu. kuna wakati wajumbe wana amua usiyo yataka na document una saini mkuu
sasa kama ni kusaini upendayo wewe tu kuna haja gani kuwa na wajumbe si akae mwenyekiti na katibu wapitishe wanayo taka wao kisha wasaini
maamuzi ya bodi huenda kwa kupiga kura ama upande wenye kura nyingi ndo huamua jambo si mwenyekiti wala katibu
Acha kupotosha
Katibu wa Bodi ndio mratibu na muandaaji wa Mikutano yote ya bodi ikiwemo kuandaa board paper
Ushawishi wake ni mkubwa zaid ukiondoa wa mwenyekiti
mkuu utakuwa unashiriki sawa ila hujui unashiriki niniKama mnataka Kadogosa awajibike au awajibishwe, kuweni wawazi. Sio kubisha vitu ambavyo viko wazi. Nashiriki vikao, najua nafasi ya mwenyekiti, najua influence ya mwenyekiti. Mwenyekiti mnyonge hafai kuwa mwenyekiti.
Kadogosa hawezi kufanya manunuzi makubwa hivyo bila Makatibu wakuu wa wizara za uchukuzi na hazina, mawaziri wao na mwisho Ikulu lazima ijue, hapa wanaotakiwa kuondoka ni kuanzia Waziri Mkuu mpk huyo KadogosaYes yeye anaendelea kwasababu yeye ni mtu safi, hahusiki ila najua kuna watu wana hamu sana Wasukuma wote walioteuliwa na Magufuli, watumbuliwe kwasababu wanadhani waliteuliwa kwa Usukuma wao na sio kwa sifa zao na vigezo.
Mama akifanya kosa hili, la kuwatumbua Wasukuma kwasababu tuu ni Wasukuma na waliteuliwa na Msukuma, atakuwa anatenda dhambi kubwa ya ubaguzi!. Japo Rais Magufuli ni Msukuma, sijui ni wangapi humu wanafahamu kwanini ni Magufuli, Mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanafahamu why ni Magufuli Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Na japo Magufuli alijaza Wasukuma baadhi ya maeneo, niliwahi kulishauri Bunge letu lichunguze Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
Hivyo japo ni kweli Magufuli aliwateua Wasukuma wengi lakini hakuwateua kwa sababu ya Usukuma wao, aliwateua kwasababu ya kukidhi sifa na vigezo Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
Hivyo Mama akifanya kosa la kuwatumbua Wasukuma kwa Usukuma wao, atakuwa amefanya kosa kubwa la dhambi ya ubaguzi, karma haitamuacha Mama salama!.
Japo hakuna mtu yoyote ajuaye ni kwanini JPM ameitwa mapema, lakini wapo watu wanaojua na sababu wanazijua, hivyo wana jukumu la kumsaidia Mama kuepuka mambo yanayotengeneza bad karma
Inabidi kwenye vile vikao kazi vyao na semina elekezi wawe wanaita na watu wa holistic advice ili wafundishwe kitu kinachoitwa karma, it's real na kuhakikisha wanapoboronga, wanapisha tuu wenyewe ili kumlinda Mama Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma
P
Mwanzoni kipindi cha magufuli nilijua mkurugenzi ndugu kadogosa ni mtu makini na mzalendo kumbe ni uchafu kama walivyo akina napeKadogosa hawezi kuiba bila Ikulu kufahamu
Kwa akili yako anaweza kufanya manunuzi ya mabilion bila Ikulu kujua?Mwanzoni kipindi cha magufuli nilijua mkurugenzi ndugu kadogosa ni mtu makini na mzalendo kumbe ni uchafu kama walivyo akina nape
Tatizo la Tanzania ni system nzima imeoza kuanzia Ikulu kushuka chini hakuna msafi hata mmoja, wote ni wezi tupuMwanzoni kipindi cha magufuli nilijua mkurugenzi ndugu kadogosa ni mtu makini na mzalendo kumbe ni uchafu kama walivyo akina nape
Waludishwe na wajumbe.Bado ni MD, ndio maana ht ile barua haijamtaja kwa jina ila kwa 'bodi'