GE2025 Masanja Kadogosa: Samia alishamaliza kazi. Kwa sasa anapita tu kuwasalimia wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha kuwashawishi wananchi kumpa kura zao, hivyo anachokifanya sasa ni kupita kuwasalimia tu na wananchi wanamshukuru.

Kadogosa amesema hayo leo Oktoba 11, 2025 wilayani Maswa mkoani Simiyu, katika kampeni za mgombea huyo wa urais.
 
1001291070.jpg
 
JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole
Thread starterInside10 Start dateToday at 1:13 PM Tagsbalozi polepole bunge la eu humphrey polepole
1 of 2
Next
Last
Jump to new
Subscribe

•••
Inside10
Inside10
JF-Expert Member
Today at 1:13 PM
Add bookmark
#1
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.
1760184296983.png
Bush Dokta
JF-Expert Member
Today at 1:16 PM
Add bookmark
#2
Inside10 said:

View:
View: https://www.instagram.com/p/DPqiI-fDU8h/?igsh=dDZ0aDk3MGlvaWdv
Click to expand...

Haya mabunge bwana hayana tofauti na ya kwetu
Scars
Scars
JF-Expert Member
Today at 1:16 PM
Add bookmark
#3
Tunahitaji wachukue hatua kali kivitendo zaidi kuliko matamko ya kulaani.
Inside10
Inside10
JF-Expert Member
Today at 1:17 PM
Add bookmark
#4
Scars said:
Tunahitaji wachukue hatua kali kivitendo zaidi kuliko matamko ya kulaani.
Hakika
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:19 PM
Add bookmark
#5
Write your reply...hahaha kwani tz ipo ulaya?
DuaZaMama
DuaZaMama
JF-Expert Member
Today at 1:20 PM
Add bookmark
#6
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.

1760177892087.png

1760177990512.png

Chanzo. Mwananchi
Inside10
Inside10
JF-Expert Member
Today at 1:20 PM
Add bookmark
#7
Umsolopagaasi said:
Write your reply...hahaha kwani tz ipo ulaya?
Akili ya kiCCM
SAD
Lwiva
Lwiva
JF-Expert Member
Today at 1:22 PM
Add bookmark
#8
Scars said:
Tunahitaji wachukue hatua kali kivitendo zaidi kuliko matamko ya kulaani.
ROSTAM AZIZI ANATOA ONGO HADI KWA MABALOZI WA HIZO NCHI
PureView zeiss
PureView zeiss
JF-Expert Member
Today at 1:24 PM
Add bookmark
#9
Hawa wabunge wa ulaya nao wanazingua Tu.
Kwanini wanashindwa kushusha kipigo Kwa CCM
Dume la Dar
Dume la Dar
JF-Expert Member
Today at 1:34 PM
Add bookmark
#10
Watoe AK-47 mengine yataenda yenyewe waache maneno
Gen zy
Member
Today at 1:36 PM
Add bookmark
#11
Dume la Dar said:
Watoe AK-47 mengine yataenda yenyewe waache maneno
Hakika Hiyo itasaidia sana maneno yasiwe mengi
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:44 PM
Add bookmark
#12
Write your reply...habari mpya bon yai na jj mnyika kuhamia ccm tarehe 25 mwezi huu
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:44 PM
Add bookmark
#13
Write your reply...habari mpya bon yai na jj mnyika kuhamia ccm tarehe 25 mwezi huu
imhotep
imhotep
JF-Expert Member
Today at 1:47 PM
Add bookmark
#14
Lwiva said:
ROSTAM AZIZI ANATOA HONGO HADI KWA MABALOZI WA HIZO NCHI
Teyari wameshamzushia?
Umsolopagaasi
JF-Expert Member
Today at 1:55 PM
Add bookmark
#15
Inside10 said:
Akili ya kiCCM
SAD
acha kulala
The Burning Spear
The Burning Spear
JF-Expert Member
Today at 2:03 PM
Add bookmark
#16
Inside10 said:

View:
View: https://www.instagram.com/p/DPqiI-fDU8h/?igsh=dDZ0aDk3MGlvaWdv
Click to expand...

Haisaidii
Ngunya1
Ngunya1
JF-Expert Member
Today at 2:07 PM
Add bookmark
#17
Hawana msaada ******* tu
baz kaiza
baz kaiza
JF-Expert Member
Today at 2:15 PM
Add bookmark
#18
Aya mabunge huwa yanaongwa baada ya Uchaguzi ukumbuki Nchimbi baada ya kukutana na mablozi wote kimya wafanya biashara wakubwa wa hizo nchi watakuja kuingia mikataba hapa ni matapeli😂😂
Lord Denning
Lord Denning
JF-Expert Member
Today at 2:17 PM
Add bookmark
#19
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wakuu,

Mgombea Ubunge wa Bariadi vijijini kwa tiketi yaCCM, Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha kuwashawishi wananchi kumpa kura zao

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kadogosa amesema anachokifanya Samia sasa ni kupita kuwasalimia tu na wananchi wanamshukuru.

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha kuwashawishi wananchi kumpa kura zao, hivyo anachokifanya sasa ni kupita kuwasalimia tu na wananchi wanamshukuru.

Kadogosa amesema hayo leo Oktoba 11, 2025 wilayani Maswa mkoani Simiyu, katika kampeni za mgombea huyo wa urais.
Bora apite kusalimia na sii mi5 tena.
 
Hadi hii habari ya mi5 tena kwa majigambo ifanane na sumu ya koboko!
 
Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha kuwashawishi wananchi kumpa kura zao, hivyo anachokifanya sasa ni kupita kuwasalimia tu na wananchi wanamshukuru.

Kadogosa amesema hayo leo Oktoba 11, 2025 wilayani Maswa mkoani Simiyu, katika kampeni za mgombea huyo wa urais.
Ni kweli, tena kuna akina sisi, tuliisha watangazia watu humu kitambo Thread 'Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu' GE2020 - Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu
P
 
Back
Top Bottom