GE2025 Masanja Kadogosa: Ubunge siyo majaribio lazima tuulize katika taifa hili umefanya nini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Tumuulize Mgombea ubunge nafasi ya urais Samia amefanya nini kwa Maendeleo kama siyo kuongeza deni la taifa anafanya kazi ya kukamia tu " Mimi ndiye amiri mkuu wa jeshi"

----------
Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini mkoani Simiyu, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana Masanja Kadogosa amesema hawawezi kuwa na majaribio ya ubunge ambayo ni maisha ya watu ikiwa maendeleo hayaletwi na maneno pekee bali ni vitendo hivyo ni vyema wananchi wakakichagua Chama Cha Mapinduzi kinafanya maendeleo kwa vitendo na kwa uhalisia

Masanja ameyasema hayo katika muendelezo wa kampeni zake akiwa Kata ya Banemhi na Mwadobana ambapo amewaomba wananchi wagombea wa vyama vingine wakifika katika maeneo yao ni vyema wakawahoji ni maendeleo yapi wameyaleta katika Taifa la Tanzania

Naunga mkono hoja
View: https://youtu.be/MRLZbNMW4M0?si=2ZXHlVM5oS2yMVf-
P
 
Back
Top Bottom