Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Huyu bosi ws trc, anapoteza muda kwenye siasa, badala ya kuumiza kichwa sgr inaongeza vipi mapatoMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa.
Kadogosa ameyasema hayo Aprili 21, 2025 jijini Mwanza alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya Pasaka na maombi maalumu ya kuliombea Taifa na kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan, iliyoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria.
Akizungumza katika ibada hiyo amewaomba viongozi wa dini nchini kwa kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii kuhakikisha wanahubiri mahubiri mema yatakayoendeleza muunganiko uliopo na umoja kama Taifa.
View attachment 3312863
"Kama Taifa, katika kipindi hiki muhimu cha uchaguzi tunahitaji umoja ili tuvuke kwa amani na utulivu. Hivyo, viongozi wetu wa dini msiache kutuombea," amesema Kadogosa.
Amefafanua kuwa umoja ndiyo utaliwezesha Taifa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na huku shughuli za maendeleo na nyinginezo zikiendelea kwa utulivu na amani.
Msaidizi wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki Ziwa Victoria (DMZV), Stephen Ling’wa amesema kuwa amani, utulivu utaendelea kuwa ngao ya kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa salama.
“Siku zote tutaendelea kuhimiza muunganiko, amani na utulivu nchini, tukihubiri amani kila mmoja ataona umuhimu wa hilo, kwani hata kusanyiko hili ni la kuliombea Taifa amani,”amesema Ling’wa.
View attachment 3312865
Source:
Wasafi Fm
Huyu anaenda kugombea Bariadi Mjini, Jimbo alilopo Mhandisi Mathew. Kishaiba viroba vya kutosha sasa akale akiwa amestarehe na Kinga ya Ubunge. Hawezi acha msifia SSH.Hivi CCM na Viongozi waandamizi wa Serikali na Taasisi zake, ugomvi wao na neno HAKI utaisha lini?
Huyu anaenda kugombea Bariadi Mjini, Jimbo alilopo Mhandisi Mathew. Kishaiba viroba vya kutosha sasa akale akiwa amestarehe na Kinga ya Ubunge. Hawezi acha msifia SS
Chenge aliingia makubaliano na Mhandisi Mathew kwamba kijana aendelee kwa makubaliano amuunge mkono Mke wa Chenge kwenye Viti Maalum.Joka la Makengeza Mtemi Chenge yeye vipi?..hagombei
Huenda naye anataka kujitosa kwenye ubungeHuyu bosi ws trc, anapoteza muda kwenye siasa, badala ya kuumiza kichwa sgr inaongeza vipi mapato
Mwambie ukweli huyu hajitambui. Sgr ni ya hovyo sana!Huyu bosi ws trc, anapoteza muda kwenye siasa, badala ya kuumiza kichwa sgr inaongeza vipi mapato
hatari sanaHuenda naye anataka kujitosa kwenye ubunge
wanaleta mambo ya ajabu sanaMwambie ukweli huyu hajitambui. Sgr ni ya hovyo sana!
Aibu sana hata mkurugenzi mkuu wa shirika anakuwa CHAWAMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa.
Kadogosa ameyasema hayo Aprili 21, 2025 jijini Mwanza alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya Pasaka na maombi maalumu ya kuliombea Taifa na kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan, iliyoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria.
Akizungumza katika ibada hiyo amewaomba viongozi wa dini nchini kwa kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii kuhakikisha wanahubiri mahubiri mema yatakayoendeleza muunganiko uliopo na umoja kama Taifa.
View attachment 3312863
"Kama Taifa, katika kipindi hiki muhimu cha uchaguzi tunahitaji umoja ili tuvuke kwa amani na utulivu. Hivyo, viongozi wetu wa dini msiache kutuombea," amesema Kadogosa.
Amefafanua kuwa umoja ndiyo utaliwezesha Taifa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na huku shughuli za maendeleo na nyinginezo zikiendelea kwa utulivu na amani.
Msaidizi wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki Ziwa Victoria (DMZV), Stephen Ling’wa amesema kuwa amani, utulivu utaendelea kuwa ngao ya kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa salama.
“Siku zote tutaendelea kuhimiza muunganiko, amani na utulivu nchini, tukihubiri amani kila mmoja ataona umuhimu wa hilo, kwani hata kusanyiko hili ni la kuliombea Taifa amani,”amesema Ling’wa.
View attachment 3312865
Source:
Wasafi Fm
Kila mtu anataka kukimbia kazi ya Serikali Ili awe Mbunge, uzuri ameshachuma mabilioni ya Sgr.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa.