PreGE2025 Masanja Kadogosa: Umoja wetu utawezesha uchaguzi waamani na utulivu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Uchaguzi wa amani na utulivu, siyo uchaguzi huru na wa haki...mikund hawa.
 
Atagombea jimbo gani?

Halafu huyu ndiye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika ambaye anapeta toka awamu ya Magu!
 
Kadogosa anatumia muda mwingi kupambana na mbunge wa Bariadi,Mhandisi Mathew Kundo ambaye ni Naibu Waziri Maji,kuliko kupambana na SGR ikamilke kwa wakati.Nadhani hata huko KKKT aliomba nafasi awe mgeni maana ndiyo zake hizo.
 
Huyu bosi ws trc, anapoteza muda kwenye siasa, badala ya kuumiza kichwa sgr inaongeza vipi mapato
ccm hoyee wakuu --- hatari sana --- chama cha maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…