GE2025 Masanja Kadogosa: Vijana mjue amani ya nchi hii imejengwa kwa gharama kubwa lazima tuilinde

GE2025 Masanja Kadogosa: Vijana mjue amani ya nchi hii imejengwa kwa gharama kubwa lazima tuilinde

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Bariadi vijijini mkoani Simiyu, Masanja Kadogosa amewasisitiza wakazi wa Kata ya Masewa hasa kundi la vijana kulinda amani ya nchi iliyopiganiwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abed Amani Karume.

Soma pia GE2025 - Kadogosa: Kelele za mitandaoni zipo enzi na enzi

 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini Mkoani Simiyu kupitia Chama cha mapinduzi CCM Masanja Kadogosa amefunguka kuwa Nchi ambayo itakosa amani itakuwa ni moja ya Nchi ambayo wananchi wake wataishi bila utulivu.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni aliyofanya Mkoani humo Kadogosa amesema amani ni moja ya vitu muhimu sana kwenye nchi yetu kwa sababu pasipo amani hakuna Zahanati, hakuna Elimu na wala hakuna chochote kinachoweza kuendelea.
 
Na ndio maana tutaandamana kwa Amani kabisa. Vurugu watazianzisha wao.
 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini Mkoani Simiyu kupitia Chama cha mapinduzi CCM Masanja Kadogosa amefunguka kuwa Nchi ambayo itakosa amani itakuwa ni moja ya Nchi ambayo wananchi wake wataishi bila utulivu.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni aliyofanya Mkoani humo Kadogosa amesema amani ni moja ya vitu muhimu sana kwenye nchi yetu kwa sababu pasipo amani hakuna Zahanati, hakuna Elimu na wala hakuna chochote kinachoweza kuendelea.
Amani ni tunda la haki. Watawala wakitenda haki amani itatamalaki.
 
Utekaji, mauaji, ufisadi, wizi umejengwa na nani na kwa gharama zipi?
 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini Mkoani Simiyu kupitia Chama cha mapinduzi CCM Masanja Kadogosa amefunguka kuwa Nchi ambayo itakosa amani itakuwa ni moja ya Nchi ambayo wananchi wake wataishi bila utulivu.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni aliyofanya Mkoani humo Kadogosa amesema amani ni moja ya vitu muhimu sana kwenye nchi yetu kwa sababu pasipo amani hakuna Zahanati, hakuna Elimu na wala hakuna chochote kinachoweza kuendelea.
Rubbish, sema Haki na amani itakuja yenyewe
 
Aache uongo! Tanganyika ni moja ya nchi chache Afrika ambayo hazikupata uhuru kwa gharama kubwa kama anavyotaka kuwaaminisha wajinga.

Labda kama anafikiri watu hatujui maana ya The League of Nations ya 1919, na ambayo iliyageuza makoloni ya Mjerumani kuwa Mandatory territories! na pia UNO ya mwaka 1945, na ambayo iliyabadilisha tena hayo makoloni (ikiwemo Tanganyika) kuwa Trusteeship colonies!

Akisema tulipata uhuru kwa gharama kubwa; na Potuguese colonies mfano Angola, Msumbiji, nk. pamoja na Settler Colonies mfano Kenya, Zimbabwe na Namibia watasemaje!!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Swali zuri mno
Ndio, wasiwe wanakuja kusema ule ni moto na ni mbaya ilhali hakuna moto ambao hauna chanzo maana wakishaona moshi ni dalili ya moto tayari kama waliona moshi wasishangae moto ukitokea.
 
Back
Top Bottom