Amani ni tunda la haki. Watawala wakitenda haki amani itatamalaki.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini Mkoani Simiyu kupitia Chama cha mapinduzi CCM Masanja Kadogosa amefunguka kuwa Nchi ambayo itakosa amani itakuwa ni moja ya Nchi ambayo wananchi wake wataishi bila utulivu.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni aliyofanya Mkoani humo Kadogosa amesema amani ni moja ya vitu muhimu sana kwenye nchi yetu kwa sababu pasipo amani hakuna Zahanati, hakuna Elimu na wala hakuna chochote kinachoweza kuendelea.
Rubbish, sema Haki na amani itakuja yenyeweMgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini Mkoani Simiyu kupitia Chama cha mapinduzi CCM Masanja Kadogosa amefunguka kuwa Nchi ambayo itakosa amani itakuwa ni moja ya Nchi ambayo wananchi wake wataishi bila utulivu.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni aliyofanya Mkoani humo Kadogosa amesema amani ni moja ya vitu muhimu sana kwenye nchi yetu kwa sababu pasipo amani hakuna Zahanati, hakuna Elimu na wala hakuna chochote kinachoweza kuendelea.
Swali zuri mnoUtekaji, mauaji, ufisadi, wizi umejengwa na nani na kwa gharama zipi?
Ndio, wasiwe wanakuja kusema ule ni moto na ni mbaya ilhali hakuna moto ambao hauna chanzo maana wakishaona moshi ni dalili ya moto tayari kama waliona moshi wasishangae moto ukitokea.Swali zuri mno