Masanja kapata kura 19 kati ya 1193 huko Ludewa, ameshauriwa awekeze kwenye Komedi

Acheni kejeli fursa ilijitokeza akajaribu bahati yake ameshindwa msimdharau
 
copy n paste kutoka kwa prof jay..mhh iga ufe..kila mtu na rizk yake..na wa tz sasa hivi hawadanganyiki wanachagua majembe yatakayowasaidia..hakuna cha jina kubwa.
 
Masanja namchekaga. ...Wala hanichekeshi
Huna tofauti na mimi mkuu sijawahi kuchekeshwa na hiki kiumbe sana sana huwa nachekeshwa na wanaodai wamechekeshwa na huyu wanayemuita mchekeshaji, asanteni Ludewa kwa kuwa munajitambua.
 
Sio mbaya anaweza kuingia kwa viti 10 vya rais kama mchungaji Rwakatare. Aongeze maombi(au mchungaji hajiombei!?)
 
Mi nadhani wanachama wenyewe walitathimini,haiwezekani jimbo litoke kwa kichwa kama Deo(RIP) anayekubalika hadi na watu wa upinzani na halafu lije kutetewa na somebody like mwanawane mkandamizaji.Its impossible aisseeeeeeeee
 
CCM sio chama cha wasanii kama Chagadema
 
Kanyolewaaaaa,safi sana.
 

Attachments

  • 1447446429278.jpg
    41.4 KB · Views: 354
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…