wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,945
- 5,733
hahahahahaha...nikusaidie kukutawaza binamu!
Ananuka M@vi huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha...nikusaidie kukutawaza binamu!
Nani kashinda kura za maoni katika uchaguzi huo?
Acheni kejeli fursa ilijitokeza akajaribu bahati yake ameshindwa msimdharau
Huna tofauti na mimi mkuu sijawahi kuchekeshwa na hiki kiumbe sana sana huwa nachekeshwa na wanaodai wamechekeshwa na huyu wanayemuita mchekeshaji, asanteni Ludewa kwa kuwa munajitambua.Masanja namchekaga. ...Wala hanichekeshi
hizo kura 19 ni sawa na asilimia ngapi
hizo kura 19 ni sawa na asilimia ngapi[/QUOTE
Ni sawa na zile asilimia za Anna mgwira
Sio mbaya anaweza kuingia kwa viti 10 vya rais kama mchungaji Rwakatare. Aongeze maombi(au mchungaji hajiombei!?)