Masanja: Kazi yangu ni kuhubiri, si Kupigana, vijana wangu watanilinda

Masanja: Kazi yangu ni kuhubiri, si Kupigana, vijana wangu watanilinda

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mimi siyo tu Mchungaji mimi ni mkuu wa dhehebu letu, naomba niwaulize nikilindwa mimi wao wanaumia nini, Mungu analinda roho zetu siyo miili yetu siwezi kufanya kazi ya kuhubiri neno la Mungu na kupangua ngumi za watu ni lazima vijana wangu wanipambanie zinapotokea vurugu"Alisema Masanja
 
Anadhulumu watu?

Anakula wake za watu?

Mtumishi wa Mungi asiye na ila, anaishi kea Amani na hahitaji kilindea na chochote

Utapeli mwengine sijui ulitokeaga nchi Gani mpaka ukafika bongoland
 
Papa analindwa.
Mufti analindwa.
Masanja akilindwa wewe unaumia nini?
 
Back
Top Bottom