Masanja kugombea ubunge Mbarali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Muigizaji mashuhuri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emanuel au Masanja kama anavyojulikana na wengi anataraji kugombea ubunge jimboni mbarali. Ameyasema hayo baada ya kumwimbia Mungu ktk mkutano mkubwa wa injili unaoendelea viwanja vya jangwani leo hii.
 
Naona mwaka huu kila mtu anataka ubunge nimesikia hata stev nyerere nae ametangaza nia ataka kugombea kinondoni
 
ili asichunguzwe mali zake kazipataje na serkal, agombe kwa chama cha wakulima na wafanya kazi.
 
kwa ccm inawezekana,mbona bungeni wao ni kusifu tu mawaziri.Kama ameweza darasa la pili Deo Sanga wa Njombe ata shindwa mkandamizaji?
 
Naona hata makahaba wa bongo movies nao wanataka wagombe ubunge wa viti maalum naona bunge linaingiliwa
 

Mmh
Mbona sijamsikia mkuu?
 
Mafao ya 230mil kwa kazi ya kusinzia miaka mitano ni makubwa sana. Hakuna ajira inayolipa kama ubunge kwa sasa...
 
bongo movie na bongo fleva bungeni mm pia namshauli saida kaloli agombeee
 
Diamond Platnumz akingombea nampa kura yangu kupitia caunt ya ubungo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…